Yupo wapi Glory Robinson mtangazaji wa Redio Free Africa?

Yupo wapi Glory Robinson mtangazaji wa Redio Free Africa?

Glory Robinson+ kiddbway+dj john =show time

Hapo kila msanii mkubwa alikuwa anabuk interview

Anko sam yy alikuwa akisikika kwenye flash back na weekend flevee saut ya zege uyu mnyamwez

RFA bana any way R.I.P

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Alikuaga na segment flani hv, kwenye kipindi cha Bonanza la RFA, ile segment ilikua inaitwa urembo kama sikosei, halafu wakati anaelezea, wimbo wa Rihana unapigwa chini kwa chini, hapo asubuhi umetoka msikiliza Fredwaaa na kipindi chake cha Vodacom....
Yaani acha tu RFA ya enzi hizo
 
Duh asee acha me bado naiamini RFA japo imechuja sana lakini jamaa walijitahidi
1.hakuna kulala na RFA
2. Good morning Africa (BBC,matukio, michezo na vodacom, amka kumekuja sijui)
3. Sindano tano za moto
4. Bonanza LA Leo
5. 12:00-1400 mchana na RFA huko utapata DW, taarifa ya habari
6. 14:00-1600 show time
7. 16:00-1800 mambo mambo
8. 18:00-20:00 VOA BBC mziki
9. 20:00-20:30 michezo
10. 20:30-21:00 habari
11. 21:00-00:00 inategemeana na vipindi vya siku hiyo sijui usiku tulivu,lugha gongana, uliza ujibiwe, bolingo time, zilipendwa unakumbuka wapi

RFA bhn, Acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio
Namkumbuka sana huyu mwanadada enzi hizo RFA ikitamba ktk tasnia ya habari. Alikuwa pia anajiita Mtoto wa Mama Sabuni.Hivi yupo wapi Siku hizi na anafanya nini?
Sio mtoto wa mama Saburi?
 
Duh asee acha me bado naiamini RFA japo imechuja sana lakini jamaa walijitahidi
1.hakuna kulala na RFA
2. Good morning Africa (BBC,matukio, michezo na vodacom, amka kumekuja sijui)
3. Sindano tano za moto
4. Bonanza LA Leo
5. 12:00-1400 mchana na RFA huko utapata DW, taarifa ya habari
6. 14:00-1600 show time
7. 16:00-1800 mambo mambo
8. 18:00-20:00 VOA BBC mziki
9. 20:00-20:30 michezo
10. 20:30-21:00 habari
11. 21:00-00:00 inategemeana na vipindi vya siku hiyo sijui usiku tulivu,lugha gongana, uliza ujibiwe, bolingo time, zilipendwa unakumbuka wapi

RFA bhn, Acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sindano 5 za moto toka aondoke Fred Waa dah na kile kipindi cha kurekebisha tabia kila Jumapili Je huu ni ungwana? Pengo lake halijazibika huko Clouds anaonekana wanambana sana wamwachie ajiachie kama alivyokuwa RFA.
 
Huu ni ungwana naona wambura mtani kwa kiasi alijitahidi sijui kama ipo maana ya mwisho kusikiliza ni kama 2 yrs ago
 
Na kuanzia j3 hadi ijumaa kulikua kuna kipind fulan cha music kuanziaa saa 11 hadi 3 usiku hatari sana. Show ilikua ya kiingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom