Yupo wapi Glory Robinson mtangazaji wa Redio Free Africa?

Yupo wapi Glory Robinson mtangazaji wa Redio Free Africa?

Mkuu umenikumbusha nilikuwa napenda kumsikiliza kwenye kipindi cha saa 8 cha show time yeye na kid boy na dj john hiyo ndo ilikuwa show no 1 tz achana na Cjui XXL ya jana tu ,yaani anasauti nzr sana sijaona bongo cjui yuko wapi na huyo kid boy wamepotea

9c7d79d7849b77c09b77725dcb6c2598.jpg
 
mnavyosema miaka hiyo utadhani ni miaja ya 1970 au 1980
 
Namkumbuka sana huyu mwanadada enzi hizo RFA ikitamba ktk tasnia ya habari. Alikuwa pia anajiita Mtoto wa Mama Sabuni.Hivi yupo wapi Siku hizi na anafanya nini?

Alikuaga na segment flani hv, kwenye kipindi cha Bonanza la RFA, ile segment ilikua inaitwa urembo kama sikosei, halafu wakati anaelezea, wimbo wa Rihana unapigwa chini kwa chini, hapo asubuhi umetoka msikiliza Fredwaaa na kipindi chake cha Vodacom....
 
Back
Top Bottom