Yupo wapi Glory Robinson mtangazaji wa Redio Free Africa?

Yupo wapi Glory Robinson mtangazaji wa Redio Free Africa?

Siku hizi wamemleta jamaa mmoja anasema magazeti ya motomoto mara kunako habari kibagaubaga mara sijui kilikwenda kikafanya vile na hivi sijui wamemuokota wapi yule mtu wa hovyo kabisa haelewekei haeleweki
Dialo hana hela anatafuta wa bei cheee
 
Dialo hana hela anatafuta wa bei cheee

Redio imekuwa ya hovyo kabisa nilikuwa nasikiliza sana RFA lakini siku hizi imekuwa kama kijiwe cha kujifunzia kubwabwaja thamani ya station hamna kabisa, mie naingia RFA saa 12:00 kwaajili ya BBC tu baada ya hapo nahama
 
U
Redio imekuwa ya hovyo kabisa nilikuwa nasikiliza sana RFA lakini siku hizi imekuwa kama kijiwe cha kujifunzia kubwabwaja thamani ya station hamna kabisa, mie naingia RFA saa 12:00 kwaajili ya BBC tu baada ya hapo nahama
Uko sawa kabisa mkuu wamekosa mvuto kwa sasa.
 
Grory Robinson a.ka. mtoto wa mama sabuni daaa nimemis utangazaji wake wenye mvuto.
 
Siku hizi kuna mc Machugu anaongea kuliko radio yenyewe mpaka anaharibu kazi
 
Duh asee acha me bado naiamini RFA japo imechuja sana lakini jamaa walijitahidi
1.hakuna kulala na RFA
2. Good morning Africa (BBC,matukio, michezo na vodacom, amka kumekuja sijui)
3. Sindano tano za moto
4. Bonanza LA Leo
5. 12:00-1400 mchana na RFA huko utapata DW, taarifa ya habari
6. 14:00-1600 show time
7. 16:00-1800 mambo mambo
8. 18:00-20:00 VOA BBC mziki
9. 20:00-20:30 michezo
10. 20:30-21:00 habari
11. 21:00-00:00 inategemeana na vipindi vya siku hiyo sijui usiku tulivu,lugha gongana, uliza ujibiwe, bolingo time, zilipendwa unakumbuka wapi

RFA bhn, Acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
J'2 saa 3.30 asubuhi,,,je huu ni uungwana,,,hapana huu si uungwana.THEN
Saa 4.00 asubuhi ni SINTOSAHAU
Nilikuwa sikosi vipindi hivi.
 
Kid bway ni kijamaica so when you say kid boy uko sawa.... jamaa mara ya mwisho walianzisha online radio,so sijui waliishia wapi, kid bway ana situdio yako ya tetemesha records kama kawa
Kidbway anafanya kazi Clouds toka nadhani 2012
 
kipindi kilikuwa na soundtrack ya Rhianna "music from the sun [emoji295]... "

Sent using Jamii Forums mobile app
hiki kipindi ndicho kilinifanya nikapenda wimbo wa music from the sun. RFA ilikuwa moto kuanzia asubuhi mpaka usiku vipindi kama showtime, huu ni uungwana?, sitosahau, rfa bonanza, kulikuwa na kipindi kile cha kina baina kamkulu mwisho wa week,
 
Back
Top Bottom