Huyo nimemkimbiza JF baada ya yeye kusikia hoja zangu kuhusu Uislamu na yule muhuni wake mtukufu wa daraja na kuanza kugundua kuwa mudi boy si lolote si chochote ....siyo yeyetu kuna akina adriz Malaria 2 Al-mukheef Jagina Covax Mufti kuku The Infinity wote hao nilio wataja walikuwa na hoja kila siku kuhusu dini ya kweli ...na maswal8 kibao ya kuoji ukristo ...sikuizi wote kimya ....Mahabuba wangu, furaya ya nafsi yangu na manukato wa moyo wangu...
Mara ya mwisho uliniahidi wanifuata Zanzibar baada ya swallat jumaa siku kama ya leo ila hukuja
Kwa anayejua alipo Bibi yenu Gen Z na Mama au Dada wa wengine humu anijuze kwani katika mawasiliano yake hapatikani ati
Huyo nimemkimbiza JF baada ya yeye kusikia hoja zangu kuhusu Uislamu na yule muhuni wake mtukufu wa daraja na kuanza kugundua kuwa mudi boy si lolote si chochote ....siyo yeyetu kuna akina adriz Malaria 2 Al-mukheef Jagina Covax Mufti kuku The Infinity wote hao nilio wataja walikuwa na hoja kila siku kuhusu dini ya kweli ...na maswal8 kibao ya kuoji ukristo ...sikuizi wote kimya ....
NILIWAAMBIA WATU HAPA KUWA TOFAUTI NA TATIZO LA UISLAMU NA UKRISTO NI KWAMBA
1)UISLAMU NDIYO UNAO WAPOTOSHA WAISLAMU ...
bali kwenye ukristo ni tofauti.
2)WAKRISTO NDIYO WANAO UPOTOSHA UKRISTO.
Yupo chamwuno dodoma..Mahabuba wangu, furaya ya nafsi yangu na manukato wa moyo wangu...
Mara ya mwisho uliniahidi wanifuata Zanzibar baada ya swallat jumaa siku kama ya leo ila hukuja
Kwa anayejua alipo Bibi yenu Gen Z na Mama au Dada wa wengine humu anijuze kwani katika mawasiliano yake hapatikani ati
Jamaa mmoja tu hivi wa kukulupuka.Ameolewa na nani?
ndivyo alivyokuambia Nabii wako Tito ??Huyo Faiza ndo yule sheikh sharifu makini aliyetangulizwa mbele za haki,hamtamuona Tena jf