Yule shabiki wenu aliyemkumbatia Kaka - yataka moyo!.

Thats a gud bwoy! I like em' ameonesha uzalendo kwa nchi, he hugged for us all who were unable to shake hands or see him for so near! ''A POOR MAN HUG'' Kaonesha ujasiri mkubwa na naweza kumwita mpiganaji jasiri na anajua kazi yake. Thats true love and passion for soccer! Long live Nageri Kombo. (21) Respekt Bwoy....
 
DOGO WANAMPANDISHA CHATI HAPA..http://www.ireport.com/docs/DOC-456591

iReport -
A Photo of Football fanatic hugging Kaka while the game is still on play during Tanzania vs Brazil friendly match.He managed to penetrate from his seat and jumped in to the ground shouting kaka ,kaka....he was excited..and kaka hug him..everyone was suprised with seeing him on the ground...but he managed ..Later on Police caught him
 
Jeshi la polisi ni wazembe kupindukia waliweka ulinzi sehemu moja tu na upande mwingine kukawa hakuna ulinzi wanapaswa kumwachia huyo dogo na dhambi wazibebe wenyewe kwa kisingizio cha kupandisha kiingirio eti kwa ajili ya kuimalisha ulinzi.
 
Naskia siku ile JK alimtuma mlinzi wake akawaambie wale FFU waliokuwa wanampa kipigo 'rafki yake kaka' wasimpige, wamweke tu chini ya ulinzi.
Sasa sijui alisema hivyo kukwepa aibu maana dunia nzima ilikuwa inatazama.
 
Gazeti la The Guardian additional page (i) Muungwana pia anaonekana anasalimiana na wachezaji wa Brazir. Mie sijui kama mechi ya kirafiki ma prezida nao huwashika mikono wachezaji.

Point hapa ni kwamba Kama Rais anaonekana naye alikuwa na hamu ya kumsalimia Kaka, basi huyo kijana aachiwe naye alikuwa na hamu kama ya Rais wake!
 
Gazeti la The Guardian additional page (i) Muungwana pia anaonekana anasalimiana na wachezaji wa Brazir. Mie sijui kama mechi ya kirafiki ma prezida nao huwashika mikono wachezaji.

Point hapa ni kwamba Kama Rais anaonekana naye alikuwa na hamu ya kumsalimia Kaka, basi huyo kijana aachiwe naye alikuwa na hamu kama ya Rais wake!
Hahahahahahahaha!
 
hehehehe
ndo soka hilo
Kamanda Kova anataka friendly trip to brazil thus anataka kumkomoa yule kijana apate sifa kwa balozi
 
Binafsi amenifurahisha kwa sababu nilikuwa nasikia kucheka kila nikimtazama. Hao police wanataka kumuone tu kama uzembe ni wao mtu karuka fence kaingia mpaka uwanjani kamaliza shida yake eti ndio mnamkamata huo si uzembe na uonevu angekuwa wa kujitoa mhanga si wangeokota majivu. hapo sasa wangemkamata nani au nani angekuwa na kosa. waache kujikosha la msingi wamwchie tu ili wazime soo yao kwa uzembe walioufanya macho yao yalikuwa kwenye mpira na sio ulinzi.
 
download
 


ANAONEKANA MKUBWA, ALA KUMBE MWANAFUNZI, WAMWACHIE TU DOGO AENDELEE NA SHULE HIYO ILIKUWA SEHEMU YA BURUDANI, SAWA KOVA????
 
Mwenyewe naona kijana anaujasiri wa ajabu sana alipenda kutimiza ndoto zake ,nahisi huyu kijana wazo lilikuja kipindi akiwa uwanjani.
akijisemea kimoyomoyo Ni lazima nimuhug kaka h good one.:pound:Ulinzi wetu nao sijui walikuwa wanasinzia uwanjani?
 
jana nilisikiliz aredio ila sikumbuki station gani wakasema kuwa alipokamatwa huyu kijana, rais alimtuma mlinzi wake kutoa maagizo kuwa asipigwe........
 
Ule ulikuwa mzuka Bab Kubwa, kila mshabiki alimfurahia yule dogo kwa kuonyesha mapenzi ya kweli kwa Kaka, ila inahitaji moyo. Dogo kapandisha kiaina.
 
Hongera sana kijana wa Kombo.

Ndoto yako ilitimia kabisa. And off course ulikuwa harmless kwa nini wakushikilie? Huu ni ujinga wa jeshi letu na usalama wa nchi, tena wameumbuka kwa jinsi hawako makini, wao walikuwa wanakodolea ball macho tu.

Washitakiwe kwanza wale polisi na wana usalama wanaojidai makomandoo kwa kuwa walishindwa kazi mbele ya kadamnasi. Natamani nami ningemwona huyo kijana Nageri Kombo nimkumbatie kwa tendo la kishujaa hilo. Tena huyo anafaa kuwa msalama kwani ni fast with techniques, tena anawaza kwa makini kabisa maana tena aliweza kuona kuwa ni heri ajiandae kabisa kukamatwa na walinzi.

Nyie polisi mnahangaika na issue ndogo kama hizi wakati huko Kimara, Mbezi, Chanika, Eneo karibu lote la Gongolaboto, n.k watanzania wasio na hatia wanauwawa na majambazi! Lo nimesahau kuwa deal nyingi za ujambazi nyie ni ring leaders!
 
Pamoja na kwamba kiusalama kwa wachzaji ni mbaya lakini it was good kwakweli
tunataka watu wa kuwavaa mafisadi sasa kwa stahili hiyo ya dogo
 
kova pambana na majambazi,huyo ni ushabiki tu hana hatia mana hakumdhuru kaka.
 
Uchunguzi wa nini sasa wakati tukio lote mmeliona? kuna kingine mnahitaji kuchunguza? mambo ya kawaida kwenye soka hayo ndio ushabiki huo hakua na nia mbaya ya kumuumiza kwahio mpeni tu fine ya kuruka vizuizi vya ulinzi au adhabu mnayotaka kulikoni kumpotezea mda wake kwa kujifanya mnaendelea na uchunguzi.
 
jana nilisikiliz aredio ila sikumbuki station gani wakasema kuwa alipokamatwa huyu kijana, rais alimtuma mlinzi wake kutoa maagizo kuwa asipigwe........

ha ha ha kumbe JK ana akili sometimes kama akiamua? anajua kwamba international media yote hipo pale na vijana wake kwa kupenda kutembeza mambata haraka haraka huo ujumbe ungechelewa kidogo tu basi utalii tungeutangaza zaidi walivyotegemea lol.
 
Back
Top Bottom