Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,135
- 12,572
Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy.
Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa burudani mashabiki zake.
Ndani ya ablum hiyo iitwayo 11:11 imeshirikisha mastaa kadhaa kama Future kutoka US na mkali Davido kutoka Naija na wengine wengi.
Album hii ina mikwaju takribani 22, itashushwa moja baada ya mwengine hapa hapa stay stuned.
Hakika Breezy ni G.O.A.T wa mziki