Koffi Olomide ndiye Mwanamuziki bora wa muda wote DRC

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,897
Reaction score
14,453
Wengine wanaweza wasikubaliane nami kuhusu hili kwa kuwa kuna wakongwe kama Luambo Luanzo Makiadi, Pepe Kalle, Kanda Bongoman na wengineo ambao walivuma kipindi cha nyuma. Ila huyu mwamba tangu aibuke amekuwa akitoa vitu vikali mwaka hadi mwaka. Nimesikiliza kitu chake kipya Acquitte nimejiridhisha pasipo shaka kuwa huyu ndiye Mwanamuziki bora kabisa wa muda wote DRC.
 
Mkuu, sidhani kama hilo ndilo jibu la jumla! Hapo, kila mtu, anakuwa na mapenzi yake. Wapo wanaomuona Koffi, hana lolote, bali kuna wanamuziki wengine, ambao wanawapenda wao. Mi binafsi, namkubali Koffi. Lakini, naheshimu mahaba ya wengine kwa wengine!
 
ni ngumu kusema ni mwanamuziki bora wa muda wote DRC kwa sababu kulikuwa na vipaji vingi kule mfano Tabu ley,franco na madilu hawa walikuwa vizuri mno
wanamuziki wa DRC unakuta ana nyimbo kali na zina hit sana lakini huwezi ukazipenda zote,mfano koffi kuna nyimbo zake nyingi mbaya na ana nyimbo nzuri pia.so unakuwa unachagua chagua unajikuta unawapenda wote
 
Nakubaliana na wewe Mkuu lakini ukimwangalia Koffi amekaa kwenye game kwa muda mrefu na nyimbo zake nyingi ni nzuri tofauti na wengine.
 
Kwa mtazamo wako ni sawa,lakini kwa mziki wa RDC na wanamziki waliopita hukupaswa kusema hivyo.
 
Kwa mtu anayejua burudani vizuri na amefwatilia mziki wa congo angalau kwa miongo 2/3 ilo liko wazi.Hana mpinzani.Koffi is the best amoung others.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwangu mimi nadhani Koffi ni bora Africa.

Toka alipoanza mziki mpaka sasa, jamaa hajawahi kuchuja. Sio kwa wazee, sio kwa vijana. Fikiria mkongwe kama yule anavyoteka vijana, tazama ile Ngwasuma na Selfie.

Bado sijaona mpinzani wa koffi Afrika.
 
Wengine wanaweza wasikubaliane nami kuhusu hili kwa kuwa kuna wakongwe kama Luambo Luanzo Makiadi, Pepe Kalle, Kanda Bongoman na wengineo ambao walivuma kipindi cha nyuma. Ila huyu mwamba tangu aibuke amekuwa akitoa vitu vikali mwaka hadi mwaka. Nimesikiliza kitu chake kipya Acquitte nimejiridhisha pasipo shaka kuwa huyu ndiye Mwanamuziki bora kabisa wa muda wote DRC.
Acquitte uweke hapa
 
Kwangu madilu system ndie bora wa wakati wote sema kifo hakina huruma
 
Hivi huyu Koffi Ana familia?! Au watoto?

Maana Kama yupo yupo flani hivi..
 
Of course,
Ana mke na watoto, mara nyingi anawataja kwenye nyimbo zake, hasa hasa yule mkubwa wa kike, anaitwa Didi Stone.

Wengine ni kama Del Pirlo Mourinho, Aristoste, Saint James Rolls.
 
Afadhali...
Maana sikuwahi kuona hata siku moja habari za familia yake...
 
Back
Top Bottom