Yule mke wa kachero wa TANAPA...

Yule mke wa kachero wa TANAPA...

Wana Jf.

heri ya xmass...

Naomba kujua yule mke wa Mkuu wa upelelezi TANAPA ni wa wapi?

Tangu tukio lile na tangu RPC wa Arusha azungumzie tukio lile kwa kumhusisha yule mke wa marehemu na ukizingatia ushahidi wa mazingira uliopatikana ikiwemo taulo yenye damu, panga likiwa na damu, na nguo mbalimbali walizokuwa wanafutia damu sebuleni na kuzifukia chini ya ardhi na ukizingatia yule house boy alikiri kuhusika kumuua marehemu kwa dau la sh. milioni 5 nimepata shauku ya kujua yule mama ni MTU wa wapi? hadi kupata huo ujasiri wa kumuua mume wake?

Na kibaya zaidi eti akawahi kituo cha. polisi kutoa taarifa za kupotea mume wake na kwamba hajui alipo...! kumbe kashiriki kumuua mume wake na kumwingiza kwenye buti ya gari la marehemu na kwenda kumtelekeza porini...!!

House boy anasema alimchinja bosi wake wakati akiwa sebuleni akinywa uji ndipo alipomcharanga kwa mapanga hadi kufa, sasa huyu mama wakati huo alikuwa hayupo eneo hilo au alijificha hadi tukio lilipomalizika? maana tunaambiwa wanawake wana huruma sana sasa huyo mama hakuona huruma kushuhudia au kushiriki kumuua mumewe? ikizingatiwa kwamba mumewe kumbe alikuwa mgonjwa na alikuwa anajiandaa kwenda INDIA kwa matibabu?

Tuweni na huruma jamani, enyi wanawake na hata wanaume wenzangu.

mchaga huyo
 
Umeandika kama una uhakika sana muuaji ni mke wa marehemu ili hali upelelezi unasema baada ya uchunguzi wa kina kijana wa kazi amekiri kuhusika na mauaji hayo....Wacha tuone kijana atasema ni nani alimpa kazi hiyo...Utata ni mkubwa na ninabanwa na sheria ya makosa ya mtandaoni ningeweza sema jambo..

Funguka kidogo basi!
 
huyu mama alishindwa hata kumuwekea sumu kwenye huo uji... mpaka kutumia panga kweli alikua kishamchoka!!!

hizi ndoa ukifikiria sana unaweza usioe..

Hakupaswa hata kumwekea sumu kwenye uji,yeye ni nani hata autoe uhai wa mwanadamu mwenzake? Kama alimchoka angeondoka yeye akaanze maisha anayoyataka na si kuutoa uhai wa mtoto wa mwanamke mwenzie.
 
Wana Jf.

heri ya xmass...

Naomba kujua yule mke wa Mkuu wa upelelezi TANAPA ni wa wapi?

Tangu tukio lile na tangu RPC wa Arusha azungumzie tukio lile kwa kumhusisha yule mke wa marehemu na ukizingatia ushahidi wa mazingira uliopatikana ikiwemo taulo yenye damu, panga likiwa na damu, na nguo mbalimbali walizokuwa wanafutia damu sebuleni na kuzifukia chini ya ardhi na ukizingatia yule house boy alikiri kuhusika kumuua marehemu kwa dau la sh. milioni 5 nimepata shauku ya kujua yule mama ni MTU wa wapi? hadi kupata huo ujasiri wa kumuua mume wake?

Na kibaya zaidi eti akawahi kituo cha. polisi kutoa taarifa za kupotea mume wake na kwamba hajui alipo...! kumbe kashiriki kumuua mume wake na kumwingiza kwenye buti ya gari la marehemu na kwenda kumtelekeza porini...!!

House boy anasema alimchinja bosi wake wakati akiwa sebuleni akinywa uji ndipo alipomcharanga kwa mapanga hadi kufa, sasa huyu mama wakati huo alikuwa hayupo eneo hilo au alijificha hadi tukio lilipomalizika? maana tunaambiwa wanawake wana huruma sana sasa huyo mama hakuona huruma kushuhudia au kushiriki kumuua mumewe? ikizingatiwa kwamba mumewe kumbe alikuwa mgonjwa na alikuwa anajiandaa kwenda INDIA kwa matibabu?

Tuweni na huruma jamani, enyi wanawake na hata wanaume wenzangu.

kwenye mila zetu wamachame mwanamke anatakiwa kuua mumewe tu kama kuna mali za kutosha io ni mila
 
Acheni mambo yenu.
Mhusika ameshakiri kuwa ni yeye ndiye aliyemuua kwa tamaa za hela ambazo marehemu alikuwa nazo akijitayarisha kusafiri kimatibabu. mengine hayo yanini/
Kwenye uchunguzi wowote ule polisi huwachunguza kwanza watu wa mwisho kuwa na marehemu kabla ya tukio

Haliniingii akilini
 
Hakupaswa hata kumwekea sumu kwenye uji,yeye ni nani hata autoe uhai wa mwanadamu mwenzake? Kama alimchoka angeondoka yeye akaanze maisha anayoyataka na si kuutoa uhai wa mtoto wa mwanamke mwenzie.

kakosea sana... hata kama ni tamaa hiyo imezidi!!!!
 
Hakupaswa hata kumwekea sumu kwenye uji,yeye ni nani hata autoe uhai wa mwanadamu mwenzake? Kama alimchoka angeondoka yeye akaanze maisha anayoyataka na si kuutoa uhai wa mtoto wa mwanamke mwenzie.

Sensible,kind woman!
 
Back
Top Bottom