Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,932
- 30,045
Huyo mama ni chotara wa kichagga kwa mama na kiarusha/maasai kwa baba so zile elements za kimachame bado anazo kwa saana tuu..
Elements za Kimachame 90%
Elements za Kiarusha 10%
Huyo mama ni chotara wa kichagga kwa mama na kiarusha/maasai kwa baba so zile elements za kimachame bado anazo kwa saana tuu..
huyu mama alishindwa hata kumuwekea sumu kwenye huo uji... mpaka kutumia panga kweli alikua kishamchoka!!!
hizi ndoa ukifikiria sana unaweza usioe..
Labda naye ni house boy wa kimachame.
Yaani wewe ni afadhali ya ISIS una mikakati mikali ya uuaji, ila bora kwa uji kweli kuliko mapanga mkuu
Wanawake wa Kimachame,watu mnawachukulia tofauti na uhalisia. ..Ila kwa taarifa wanawake wa Kimachame ni wanawake wazuri sana, na wenye upendo kwa waume zao. watu ambao wameoa Machame wanaweza kuwa thibitishia hilo. hizi habari kwamba ni wakatili hazina mashiko.
huyu mama alishindwa hata kumuwekea sumu kwenye huo uji... mpaka kutumia panga kweli alikua kishamchoka!!!
hizi ndoa ukifikiria sana unaweza usioe..
That's Jesus' image basing on latest histo-scientific findings.And I call it "Jesus' New Model" teh teh teh.Merry Christmas.Mkuu ndagla, hiyo picha (avatar) nimecheka sana stori yake.....halafu imeibuliwa kipindi cha xmass
Umeandika kama una uhakika sana muuaji ni mke wa marehemu ili hali upelelezi unasema baada ya uchunguzi wa kina kijana wa kazi amekiri kuhusika na mauaji hayo....Wacha tuone kijana atasema ni nani alimpa kazi hiyo...Utata ni mkubwa na ninabanwa na sheria ya makosa ya mtandaoni ningeweza sema jambo..
Marekebisho kidogo ni mmasai hakuna kabila la waarusha kuna wakazi na wenyeji wa arusha.
Ndio hao hao wameru maana hakuna kabila linaloitwa waarusha.
Acha kuwadanganya watu halafu waje kujuta baadaye,mimi nina mifano ya wazi kabisa kwa wanaume waliooa wanawake wa kimachame:-
-Mmoja akijinyonga na kamba asubuhi saa 11kwaajili ya mateso kutoka kwa mkewe.
-Mwingine ni juzi tu baada ya kumuoa mmachame akakaa mbali na ndugu zake hata kushirikishana kwenye matukio hakuna tena.
Ukioa mmachame sahau kusaidia ndugu zako,utakuwa unasaidia ndugu zake tu lasivyo utamkoma.