Yule mke wa kachero wa TANAPA...

Yule mke wa kachero wa TANAPA...

IVI U4 SALOOOOOOo NI MMACHAME AKSEHH, HAWA WATU KWETU UKIWACHUMBIA TU FAMILIA LAZIMA UKUJIE JUU KWA SAUTI KUWA HATUTAKI KWANI WAO WAMEWEKA MALI MBELE ZAIDI
Baba angu kamkataa kaka angu kisa kaoa mmachame wakati sisi ni wakibosho
 
Mkuu manuu...

kuwa mwelewa basi, Mke wake ndiye aliyekwenda polisi kutoa taarifa kwamba hajamuona mumewe nyumbani toka alipoondoka na mumewe alikuwa asafiri kwenda kwenye matibabu India na mkewe ndiye aliyeleta ufunguo wa akiba wa gari kwa polisi ili kufungua buti ya gari.....

sasa kama alikuwa haishi naye nyumbani alijuaje kwamba mumewe alikuwa hajaonekana nyumbani toka juzi?

ilikuwaje aulete ufunguo wa akiba wa gari lao kwa polisi?


sio kwamba najisifia kwamba mm ni mwanasheria nooo, twende kwenye hoja ya msingi kaka.
Bado mkuu hayo maswali yako yanajibika labda alijua alipomuuliza houseboy baba yuko wapi???
 
Acheni mambo yenu.
Mhusika ameshakiri kuwa ni yeye ndiye aliyemuua kwa tamaa za hela ambazo marehemu alikuwa nazo akijitayarisha kusafiri kimatibabu. mengine hayo yanini/
Kwenye uchunguzi wowote ule polisi huwachunguza kwanza watu wa mwisho kuwa na marehemu kabla ya tukio
 
hata hisia huna? mke yawezekana anahusika hapa, ingekuwa ahusiki, house boy asingemuulia nyumbani kwa marehemu...(tumia akili kufikiri vizuri).. hili ni deal lilipangwa kwa ustadi lakini utekelezaji wake ndo ulikosewa...

Tukio la kumuua MTU kwa panga tena nyumbani kwake siyo mpango wa siku moja la hasha...Mimi ni mtaalamu wa uchunguzi na pia mwanasheria hili ni tukio la muda mrefu lakini lilikuwa linasubiriwa muda ufike rasmi ndipo litekelezwe, house boy hawezi kufanya kitendo hicho bila MTU yeyote nyumbani kuwa na taarifa, labda kama aliagizwa na watu wa nje wamuulie nyumbani ili baadae wamsingizie mke wake kuwa ndiye aliyemtuma, lakini napo kuna maswali mengi sana, ikiwemo, ni wapi house boy aliweza kupata taulo ya marehemu au nguo zake za kufutia damu?

marehemu alikuwa anakunywa uji sebuleni, nani aliyemtengea huo uji? kama ni mke wake it means alikuwa eneo LA tukio muda huo house boy anafanya yake.

nani aliyetoa vyombo mezani? uliona mini hapo sebuleni? ulimkuta marehemu? uliuliza yupo wapi?

Kuna wapumbavu wanakupinga, lkin hii ni mojawapo ya analysis nzuri, kuelezea hisia ni moja ya objective yetu hapa, big up.
 
Sasa kama huyo mtuhumiwa alikuwa haishi na mmewe then alijuaje mmewe kapotea mpaka aende polisi kuripoti ndani ya muda mfupi kiasi hicho?(ndani ya saa kadhaa tu)Je walitengana kwa ugomvi au sababu nyinginezo?Wana muda gani toka waanze kutokuishi pamoja?Kama alikuwa haishi hapo na mmewe kitambo then funguo za akiba za gari yeye alijuaje zinapowekwa? BTW:Kama huyo mother kahusika atakuwa mbumbumbu kweli maanake hiyo 5M bora angetafuta outsiders wazoefu wafanye yao.Kafa kifo cha mateso sana huyo mshua.Dah!!!

ILA MIMI HUWA SINA IMANI NA HAWA MAKACHERO, THE WORD ITSELF LINANISHAWISHI APO KUWA MUUAJI KAPATA WA KUMUUA As well,
HAWA SI NDO KAMA WALE WA TISS/ USALAMA WA TAIFA?? HUWA NI WANAA, WANALEAKISHA MAMBO YA WATU PIA NI WASUKA NJAMA KUWAULIMBOKA WATETEZI WA WANYONGE HASA WAKIKUSHUKU UNATAKA KUKITIA MCHANGA KITUMBUA CHA WABOSI WAO
 
Sasa jamani kufa kwa kuchapwa mapanga au softly kwa uji bora kipi... maana hapa watu walikua washadhamilia kuua issue ni jinsi gani ya kufanya

Yaani wewe ni afadhali ya ISIS una mikakati mikali ya uuaji, ila bora kwa uji kweli kuliko mapanga mkuu
 
hata hisia huna? mke yawezekana anahusika hapa, ingekuwa ahusiki, house boy asingemuulia nyumbani kwa marehemu...(tumia akili kufikiri vizuri).. hili ni deal lilipangwa kwa ustadi lakini utekelezaji wake ndo ulikosewa...

Tukio la kumuua MTU kwa panga tena nyumbani kwake siyo mpango wa siku moja la hasha...Mimi ni mtaalamu wa uchunguzi na pia mwanasheria hili ni tukio la muda mrefu lakini lilikuwa linasubiriwa muda ufike rasmi ndipo litekelezwe, house boy hawezi kufanya kitendo hicho bila MTU yeyote nyumbani kuwa na taarifa, labda kama aliagizwa na watu wa nje wamuulie nyumbani ili baadae wamsingizie mke wake kuwa ndiye aliyemtuma, lakini napo kuna maswali mengi sana, ikiwemo, ni wapi house boy aliweza kupata taulo ya marehemu au nguo zake za kufutia damu?

marehemu alikuwa anakunywa uji sebuleni, nani aliyemtengea huo uji? kama ni mke wake it means alikuwa eneo LA tukio muda huo house boy anafanya yake.

nani aliyetoa vyombo mezani? uliona mini hapo sebuleni? ulimkuta marehemu? uliuliza yupo wapi?

Duh!!aisee! Mkuu utatusaidia sana kwenye hili.usihangaike.tutajua jinsi ya kukupata kwa majadiliano.
 
huyu mama alishindwa hata kumuwekea sumu kwenye huo uji... mpaka kutumia panga kweli alikua kishamchoka!!!

hizi ndoa ukifikiria sana unaweza usioe..

Junior;
Waweza kuwa bado mdogo sana lakini una hekima kuliko mleta uzi. Yeye ameandika kana kwamba huyo mke tiyari kishatiwa hatiani.
Fikiri kidogo;
Mgonjwa wa kupeleka India, halafu mama anajua kuwa jamaa anachotumia ni uji tu, ashindwe kweli kummaliza kwa sumu mpaka atumie mapanga?? Ameshindwa hata kummaliza usiku akiwa amelala amkodishie shamba boy?
Natamani tusishabikie mambo mengine, tuwaachie wana usalama wao wana utaalam zaidi.
 
Kwani imethibitishwa kwamba anahusika na mauaji ya mumewe???

Ndugu yangu hata kama una matope kichwani na kusoma hujui hata picha huwezi kuangalia? hivi mpaka mtu anauawa wakati anakunywa uji utasema mke hahusiki? jiulize uji aliutayarisha nani? halafu wakati anakunywa uji mke alikuwa wapi? halafu pale ni sebuleni kama alikuwa ametoka aliporudi alikuta kuna damu na pamevurugika sana na damu imesambaa bado hilo nalo hakulijua?? Na pia wakapiga na deki bado tu hujamkamata huyo mama kwamba anahusika kwa asilimia 100%??

Na kwa maelezo ya picha tu bila kuongeza huyo mama alikuwa analiwa na huyo dogo wa kinyaturu penzi lilipokolea dingi akawa kikwazo wakakubaliana wamuondoe dogo akapewa deal na akajitosa kwa hiyo ni zaidi ya pesa ndiyo kilichomponza marehemu ukizingatia alikuwa mgonjwa hivyo mambo ya ndani kwa vyovyote alikuwa dhaifu au hakuweza kabisa mimi sihitaji scotland yard kuchunguza kifo hicho huyo mama kamuua mumewe na ninatamani NINGEKUWA MCHAWI na mimi NINGEENDA KUMLIPIA kisasi mwanaume mwenzangu nina uchungu sana yaani ananiuma kama ndugu yangu na amekufa kwa mateso makali sana yaani mapanga mmhhh Mungu atamlipia.
 
Umeandika kama una uhakika sana muuaji ni mke wa marehemu ili hali upelelezi unasema baada ya uchunguzi wa kina kijana wa kazi amekiri kuhusika na mauaji hayo....Wacha tuone kijana atasema ni nani alimpa kazi hiyo...Utata ni mkubwa na ninabanwa na sheria ya makosa ya mtandaoni ningeweza sema jambo.

Kwani hukusikia mkewe naye kakamatwa?Unadhani polisi walimkamata hivi hivi bila ya kuwa na clue? Huyo Houseboy amuue peke yake kwa interest ipi zaidi ya kukodiwa? na nani atamkodi ili amuulie hapo hapo nyumbani wakati na mkewe yupo hapo hapo?si angelimuulia basi hata huko mbali? unganisha doti hapo...
 
Majipu ya TANAPA ni watu wakubwa serikalini. Yamepoteza ushaidi
 
Back
Top Bottom