Yuko wapi RPC nguli Ramadhani Kingai?

Yuko wapi RPC nguli Ramadhani Kingai?

Kumbe kibaka tu
images.jpeg
 
Huyu RPC, siku hizi simuoni na amekuwa kimya Sana sijui kwanini. Mara ya mwisho nilimuona mahakamani akitoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe, ni shahidi aliyebanwa vilivyo na kutamani kukimbia kizimbani.

RPC huyo ndo alimuambia Mbowe kuwa " safari hii hutoki'" Ila kwa jinsi kesi inavyoenda najua Kingai anajuta kujiusisha na hii kesi, na amepotea kabisa kwenye media, japo Niko Dar na kila siku naenda mahakamani, lakini huyu RPC amepotea hatumuoni Kama mwanzoni alivyokuwa mstari wa mbele kwenye kesi ya Mbowe

Yupo wapi Kingai
Sio mda utamuona mahakamani, tunamtaka chini ya Mawakili wasomi upande wa utetezi awe anaumwa au la
 
Kingai anajuta kujiusisha na hii kesi
Sio kujihusisha, yeye ndo mastermind wa hii movie ambayo ime-fail at earliest stage. Aibu ni kwake, Jeshi la Polisi lkn mbaya kabisa ni kwa Serikali ambayo imeshindwa ku-withdraw huu upuuzi at early stage!!!
 
Back
Top Bottom