Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,122
- 13,392
Apumzike kwa amaniMi nilitaka kufurahi kuwa MUNGU amemchukua
Apumzike kwa amaniMi nilitaka kufurahi kuwa MUNGU amemchukua
RIPHuyu jamaa nilianza kumfahamu alivyokuwa RCO Pwani.
Very serious guy.
Hana mzaha aisee.
Sijui Ni mchagaHivi kabila gani huyu jamaa?
Ndo alimtambia Mbowe hachomoiAlipigwa spana takatifu akaomba poo kwenda kujojoa kupunguza bia alizokunywa usiku kabla ya kesi pale sinza kumekucha!
![]()
Huyu jamaa atakufa kwa stressMpuuzi wewe kwa hiyo huo ambao amesabisha aibu kwa serikali ndo seriousness? Upuuzi mwingine tuupuuze!!
Hawezi kuwa mchaga. Mchaga ni kama yule Misime na Liberatus Sabas.Sijui Ni mchaga
Sijui wa wapi ,,,kesi imemchafua mno na jamiiiHawezi kuwa mchaga. Mchaga ni kama yule Misime na Liberatus Sabas.
Bora achukuliwe na shetan akawe msukule. Mungu hawez kuchukuwa huyoMi nilitaka kufurahi kuwa MUNGU amemchukua
Kabisa kabisa.Sijui wa wapi ,,,kesi imemchafua mno na jamiii
Ameenda ku-repair damageHuyu RPC, siku hizi simuoni na amekuwa kimya Sana sijui kwanini. Mara ya mwisho nilimuona mahakamani akitoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe, ni shahidi aliyebanwa vilivyo na kutamani kukimbia kizimbani.
RPC huyo ndo alimuambia Mbowe kuwa " safari hii hutoki'" Ila kwa jinsi kesi inavyoenda najua Kingai anajuta kujiusisha na hii kesi, na amepotea kabisa kwenye media, japo Niko Dar na kila siku naenda mahakamani, lakini huyu RPC amepotea hatumuoni Kama mwanzoni alivyokuwa mstari wa mbele kwenye kesi ya Mbowe
Yupo wapi Kingai
Japo walifanya haramu lakini walifanya kazi kubwa sana.Yaani kundi lote lilipata promotion kupitia kesi ya mchongo! Aibu kubwa sana hii kwa walio wapandisha vyeo hawa jamaa.
Lakini pia amefaidika kiuchumi kwa kesi ile. Ile operesheni ya kumzima Mbowe inaonekana ilikuwa na Bajeti kubwa sana. Sio ya kitoto.Jamaa amejijengea chuki kubwa Sana
Kigari gani I hope itakuwa V8Juzi alikuwepo upande wa pili wa road kwenye ile gereji anarekebisha kigari Fulani hivi
Wale ni watu walioishapoteza nafsi zao, ndio maana unaona Wengine wanajichimbia MakaburiMi nilitaka kufurahi kuwa MUNGU amemchukua
Hili kundi ndilo lililo fanyakazi ile area d dodoma likiwa chini ya MakondaYaani kundi lote lilipata promotion kupitia kesi ya mchongo! Aibu kubwa sana hii kwa walio wapandisha vyeo hawa jamaa.
Utadhan amphibian