humility21
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 448
- 622
Ukimsikia akiongea ana lafudhi kama ya kichaga.Toka lini misime wakawa wachaga?hao huwa ni lake zone huko
Ukimsikia akiongea ana lafudhi kama ya kichaga.Toka lini misime wakawa wachaga?hao huwa ni lake zone huko
Huenda kaishi sana uchaganiUkimsikia akiongea ana lafudhi kama ya kichaga.
Acha tu mkuu ..jàmaa kanitapeli wazi wazi😭😭😭😭We jamaa umemtapeli OllaChuga Oc
Aise wee jamaa ndio umeamua kunipotezea mazima? Nirudishie Basi ile pesa mkuu.Ndio ni V8 hiyo mzee
Ni OYSTER- BAY sio HoysterbayAnakula kuku na kiyoyozi Hoysterbay Police
MmmmNi OYSTER- BAY sio Hoysterbay