Yuko wapi roho saba.

Yuko wapi roho saba.

Kwani ukiwa mwanajeshi hauruhusiwi kuimba wakuu mbona mi niliona polisi wa Kenya anahojiwa Churchill anasema yeye ni polisi na muziki anafanya au kwetu shida ni nini
Kenya sio Tanzania
 
Nakumbenda Sana hip hop....

Zaidi ya machizi wangu wa kitaa...

Hata tunaocheza nao bar...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom