technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Oya moto ajeAlizoea kubatizwa kwa maji sasa jamaaa anawabatiza kwa moto
WEWE hao hawaguswiyuko anapambana kuamisha maiti ili makaburi yakifukuliwa kukutwe hamna kitu kaburini.
Hahaaaaaayuko anapambana kuamisha maiti ili makaburi yakifukuliwa kukutwe hamna kitu kaburini.
Hawa watu wamefutika kabisaDah siamini kama hata Kaka February nae kakaaa kimya hivyo aiseeeee, dah siasa hizi, hivi na yule dogo aliyetukana sana kipindi kile na kuweka clip kwenye social media kaishia wapi? Yule sijui alikua chipukizi wa Taifa...kibonge hivi
Na kila sheli ya mafuta hapa Tanzania alipewa ridhiwani!!muacheni apumzike mana ilifikia kipindi kila ghorofa mjin ni la rizone kila gari Kali ni la rizone kila mwanamke mzuri rizone kala
Yupo Fedha Boys sijui 😀😀anasomaDah siamini kama hata Kaka February nae kakaaa kimya hivyo aiseeeee, dah siasa hizi, hivi na yule dogo aliyetukana sana kipindi kile na kuweka clip kwenye social media kaishia wapi? Yule sijui alikua chipukizi wa Taifa...kibonge hivi