Yuko wapi Ridhiwani Kikwete?

Yuko wapi Ridhiwani Kikwete?

Ulikua unawashwa muda mrefu inaonekana, uzalendo ukakushinda, ukaona umtafute humu
 
HIVI, jamani chalinze mzee Kikwete hakupereka hata Gar ya kubebea wagonjwa? Mpaka mzee wangu wa Magu aitoe kwa haraka? haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa zama za Ridhiwani zimekwisha, SASA ni dhama zetu wote kutesa, maana mzee wa Magu amesema tufuraie uraisi wake, we kipindi kile mpka rafiki yangu kipenzi tuliyekuw kuticheza pamoja pale NAMANGA MAKANGIRA, alinisahu, hata kunipereka kwa mzee anipe hata uandishi wa habari pale maelezo. namlaani sana maana nilikosa pesa kipindi kire utawala uhuuu mi nalia sanaaa.
kwa uandishi huo wa kire badala ya kile hapo idara ya habari maelezo ungefanya vituko
 
wameshapiga sasa wanakula matunda ya wanyonge,.maskini watanzania walioibiwa madini,gas,kodi za bandarini,.walioteseka na maisha magumu,..na kuwapa wageni nafs kubwa nchini,...
leo wapo wanakula matunda ya wizi kma wataishi milele,....
 
Yupo...majuzi niliona akikabidhiwa gari la wagonjwa
 
Nafsi inamsuta anajua mahakama ya ufisadi inakuja na atakuwa top10 kwenda ku attend
 
yupo facebook na instagram, kila siku anapost mara 4
 
Sisi ndio tumepunguza kumjadili ila yeye ni kama kawaida na Maisha yake. Kila utawala na mtu wake wa kuzushiwa hata enzi za Mzee Mwinyi yalipoingia Magari ya abiria DCM wazushi wakayaita ni kifupisho cha David Cleopa Msuya (PM) wa wakati huo, Zikaja bia za kopo za Stella tukaambiwa ni za Mama Sitti Mwinyi na hivi karibuni kila jengo tutaambiwa la Mama Janet Magufuli
Umenena mkuu, kila zama na story zake
 
Yupo busy sana huko china akiendeleza ule mradi wake wa kusafirisha sembe.
 
Hizo ela zilitoka mfukoni mwa magu au ni kodi za watanzania?
Kwani kikwete alivyokuwa akijinadi kwa "Mamilioni ya kikwete" hizo pesa katoa kwenye mifuko yake?

Tuache maswali ambayo hayana msingi., hii ni kumaanisha hata yeye na baba yake woote wakiwa madarakani wameshindwa kulijali jimbo lao kwa vifaa vya msingi kama hivo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom