Yuko wapi Ridhiwani Kikwete?

Yuko wapi Ridhiwani Kikwete?

Non sense Mbunge yupo anapiga kazi kwa niaba ya watu wa Chalinze umekosa cha kufanya leo asubuh unaanza umbea umbea na majungu ya kuzungumzia watu. Stop negligence
 
Non sense Mbunge yupo anapiga kazi kwa niaba ya watu wa Chalinze umekosa cha kufanya leo asubuh unaanza umbea umbea na majungu ya kuzungumzia watu. Stop negligence
Mkuu vipi tena unarusha ngumi hewani?
 
Jaribu kwenda Chalinze, facebook, Istagram na Twiter huko pia hakosekani, au unahamu tu kusikia akisemwa ya kweli na ya uongo? MWENYE USHAHIDI AENDE MAHAKAMANI...au Mange tu akiongea ndo awe na ushahidi nyinyi mkiongea muaminiwe, msitujazie server.
 
Ujumbe huu umeletwa kwenu kwa hisani ya Lumumba Buku 7
 
Juzi alionekana Star Tv akikabidhiwa gari Toyota Landcruiser Hardtop nyeupe kwaajili ya wagonjwa wa jimbo lake la Chalinze, Msaada ulitolewa na Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kuwajali Watanzania wa jimbo hilo.
Hapa sasa kama atafungua kibuyu atatambua kwamba ya kale yalikua maovu...God blec Mh. JPM.! Salutii
 
Yupo Chalinze!! Ulitaka awe wapi mkuu ili uridhike? Njoo ofisi za jimbo chalinze utamuona!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom