PAPA OBAMA
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 204
- 87
kwa anayejua huyu dada yuko wapi aliwahi iletea sifa sana nchi yetu upande wa riadha lakini siku hizi hasikiki tena anayefahamu tafadhari
kuanzia mwezi march nasikia alienda china kwa mashindano flani japo sinaYupo
Arusha bado anakimbia.