Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,963
Tunasubiri ya Ngorongoro!!! Ni nami atathubutu kuwa mkweli?Stan Katabalo na John Rutayisingwa walikufa enzi za scandal ya Loliondo.

Wasiojurikana kipindi Cha Mzee wa Ruksa walipita nae kama kipanga,Wadau,
Nikiwa bado mdogo miaka ya Tisini kulikuwa na gazeti linaitwa Motomoto! Na jingine likiitwa Mfanyakazi. Kwenye kurasa za magazeti haya kulikuwa makala za mwandishi aliyekuwa akiitwa. Stanley Katabalo.
Je, kuna mtu ana habari za kutosha kuhusu mwandishi huyu?
Nawasilisha.
R.i.p kitambo sanaWadau,

Alishatangulia mbele ya haki miaka ya 2010esama yuko wapi mtangazaji ezekiel malongo
Tungekua nao kama hawa kumi hiki kipindi cha bandari.Wadau,