AVRAM
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 616
- 890
Haya maneno yenu ambianeni wenyewe kwa wenyewe msiwahusishe waumini wengine maana mnagusa sehemu muhimu za watanzaniaAkili finyu mnayo nyie wa kulilia kulala kwenye mbeleko ili mbebwe.
Haya maneno yenu ambianeni wenyewe kwa wenyewe msiwahusishe waumini wengine maana mnagusa sehemu muhimu za watanzaniaAkili finyu mnayo nyie wa kulilia kulala kwenye mbeleko ili mbebwe.
Maneno yapi?Haya maneno yenu ambianeni wenyewe kwa wenyewe msiwahusishe waumini wengine maana mnagusa sehemu muhimu za watanzania
Kabisa! Naona uko vizuri kipande hiyo! Ngoja tusubiri tuone japo zama ziko tofauti, hapa itahitajika nguvu kubwa na ya waziwazi kufikia lengoSoon tutawapata akina Charles Njonjo na
Robert Ouko wetu! Kwenye mgandamizo mkubwa ndipo mashujaa huinukia
Kwa hiyo wote wanaoisoma namba wakati huu ni wa ile deen nyingine?au wanaopiga kelele kwa sasa ni wale wa deen yenu tukufu tu?Chunguza dini yake utajua
Ananilea Nkya harakati zake si za wanawake wa bara hili.Mkuu! Kuikosoa serikali siku hizi ni jinai!! Akina Bi kijobisimba na Ananilea nkya unawasikia siku hizi? Ole ngurumwa kawa bubu ghafla! Hujiulizi kulikoni? Nape Nnauye aliyekuwa mpigania chama amegeuka adui wa chama! Kisa kukosoa wenye mamlaka
Akili mbovu sanaKuwa hawezi kuikosoa serekali inayo ongozwa na mwanajumuiya mwenzake
Alikua anazungumzia ishu ya Nape alialikwa studiosijamsikia mkuu, vipi alikuwa anasemaje?
Tatizo unatumia makamasi kutafakari. Hapa hatuzungumzii waislamu bali Kibamba. Amekuwa kimya awamu hii kama vile hayupo. Tatizo lako ni kuongozwa na chuki kuliko ukweliUnaweza kulithibitisha hilo?
Au nawewe ni wale wale wa kulialia kama watoto wadogo...wa ubwabwa wa manjano na amira?
Wakati akiongoza J.Kikwette walisema kuwa Kikwete ametekwa na wakristo na hawajali waumi'nin wenzake wa kiislam
Wakati huohuo
1) Rais wa Zanzibar alikuwa Muislam
2) Makamu wa Rais wa Zanzibar muislam
3) Makamu wa Rais wa Tanzania Muislam
4) Jaji mkuu wa JMT muislam
Na bado wakawa wanalialia kama mtoto anayechomwa na mkojo wa kwenye nepi
Nawewe u mmoja wao?
Hebu jibu hilo kwanza kisha tuendelee.
Wewe unayetumia Ngama kwanini usithibitishe usemalo?Tatizo unatumia makamasi kutafakari. Hapa hatuzungumzii waislamu bali Kibamba. Amekuwa kimya awamu hii kama vile hayupo. Tatizo lako ni kuongozwa na chuki kuliko ukweli
Hao ni wazee wa kukamua ule uchafuuuu!Akili mbovu sana
Mara ya mwisho nilimuona kituo cha daladala cha Goigi akisubiri usafiri kwenda mjini wiki iliyopita.Bila shaka huyu mwanaharakati katika kipindi cha Kikwete alikuwa mbele kukemea ukiukwaji wa sheria pamoja na kuikemea serikali, ila cha ajabu katika awamu hii amekuwa kimya sana mpaka hili la makonda la kuivamia clouds ambalo limetikisa nchi yeye yuko kimya. Kipi kimempata huyu mwanaharakati?
View attachment 486956
Hoji siyo OjiJuzi mbona aliojiwa AZAM TV ...punguza basi ubaguzi
Kwa nape usitudanganye, nape toka mwanzo ni mkosoaji Mkubwa au umesahau enzi za mawaziri mizigo?Mkuu! Kuikosoa serikali siku hizi ni jinai!! Akina Bi kijobisimba na Ananilea nkya unawasikia siku hizi? Ole ngurumwa kawa bubu ghafla! Hujiulizi kulikoni? Nape Nnauye aliyekuwa mpigania chama amegeuka adui wa chama! Kisa kukosoa wenye mamlaka
Chamsingi ujumbe umefikaHoji siyo Oji
Ameshashiba,hana njaa tena.Bila shaka huyu mwanaharakati katika kipindi cha Kikwete alikuwa mbele kukemea ukiukwaji wa sheria pamoja na kuikemea serikali, ila cha ajabu katika awamu hii amekuwa kimya sana mpaka hili la makonda la kuivamia clouds ambalo limetikisa nchi yeye yuko kimya. Kipi kimempata huyu mwanaharakati?
View attachment 486956
Aliyekufanya ujue a b c d.... Alifanya hicho nilichofanya, kwa hiyo najua tu, unanijibu kwa utundu ila umeelimika bure kwa kujua kutumia "Hoji" badala ya "oji"Chamsingi ujumbe umefika
Umejiuliza kinachojadiliwa? Au na wewe unahemkwa tuu?Kwa hiyo wote wanaoisoma namba wakati huu ni wa ile deen nyingine?au wanaopiga kelele kwa sasa ni wale wa deen yenu tukufu tu?
Acha fikra potovu
Bila shaka we utakuwa muanglikana. Zile ndoa zenu zimekuathiriWewe unayetumia Ngama kwanini usithibitishe usemalo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]