Yuko wapi mwanahabari Deus Kibamba?

Yuko wapi mwanahabari Deus Kibamba?

Bila shaka we utakuwa muanglikana. Zile ndoa zenu zimekuathiri
Hapana mimi si muanglikana ila ni mgalatia/kafir

Nakuuliza tena wewe uliyeleta habari ya udini katika uzi huu

Je Bwn Mudy mtume wako alikamuliwa ngama na nani baada ya yeye kuwaasa ndugu waumi'nin kukamuana ngama pindi wanapokuwa maiti?

Unaweza kuthibitisha kuwa angekuwa muislam asingesumbuliwa?

Ewe muumi'nin jibu tofauti kidogo na wala ubwabwa mkekani na amira za kujazia tumbo haraka.
 
Ukilinganisha utawala wa mkristo na muislam utawala wa muislam unakuwa wenye baraka uadilifu subra rehema na mafanikio mengi tofauti na wakristo wakioongoza wamejaa chuki,visasi,unyama na roho mbaya na M/MUNGU anaondoa baraka zake ni majanga juu ya majanga mioyo ya watu imejaa woga na unyonge.
Soon tutawapata akina Charles Njonjo na
Robert Ouko wetu! Kwenye mgandamizo mkubwa ndipo mashujaa huinukia
 
Ukilinganisha utawala wa mkristo na muislam utawala wa muislam unakuwa wenye baraka uadilifu subra rehema na mafanikio mengi tofauti na wakristo wakioongoza wamejaa chuki,visasi,unyama na roho mbaya na M/MUNGU anaondoa baraka zake ni majanga juu ya majanga mioyo ya watu imejaa woga na unyonge.
Kwanza umekiri kwa kuita "Utawala wa Muislam" na sio "Uongozi"

Pili yaelekea labda hujui jinsi Uongozi ulivyo....Rais anasuggest na kutoa amri/maamuzi ya mwisho ila wanaoact katika wizara zote ni mawaziri baada ya kuteuliwa na kupatiwa budget husika.

Kuna mtu alikuwa na kisasi kama JK?

JK alichojitahidi kukifanya ni kutengeneza baraza zuri la mawaziri wanaokuwa Accountable kwake

Pia kuteua wakuu wa mikoa na wilaya na kuwapa uhuru muhimu inapobidi...ila ukija kwenye KISASI ni hatari huyu.
 
Unaweza kulithibitisha hilo?

Au nawewe ni wale wale wa kulialia kama watoto wadogo...wa ubwabwa wa manjano na amira?

Wakati akiongoza J.Kikwette walisema kuwa Kikwete ametekwa na wakristo na hawajali waumi'nin wenzake wa kiislam

Wakati huohuo

1) Rais wa Zanzibar alikuwa Muislam

2) Makamu wa Rais wa Zanzibar muislam

3) Makamu wa Rais wa Tanzania Muislam

4) Jaji mkuu wa JMT muislam

Na bado wakawa wanalialia kama mtoto anayechomwa na mkojo wa kwenye nepi

Nawewe u mmoja wao?

Hebu jibu hilo kwanza kisha tuendelee.
Mkuu sometimes hata kama tuna mapenzi na dini zetu, tujaribu kutizama na reality pia. . Inaezekana umesomeshwa kwa sadaka za parokiani ila isikuondolee akili ya kujua Pengo nae ni binadam sio malaika hivyo anakosea . .
Ni mara kadhaa nakuona unadefend Kanisa sana kana kwamba we ni Katekista wa kusafisha shutuma/maovu ya kanisa hapa JF.
 
Back
Top Bottom