Ceremonial figure aah 😳!!.
Awepo asiwepo haiathiri kitu 😳!!.
Naona kuna watu ni sawa na wale mnapigia kelele eti watu wameiba pesa za umma, wakati katiba yenu inaruhusu wizi from high profile people.
Yaani badala ya kupambana kuondoa hicho cheo kuwa ni sehemu ya matumizi mabaya ya rasilimali za umma, wewe unasema hakuathili huku anaendelea kuishi kwa nguvu ya watanzania mmh🙁!.