Yuko wapi Komandoo Salmin Amour?

Hivi Mwinyi kuna wakati alimwita chinjachinja? Halafu Watu walipopiga kelele akasema Salmin ni mahiri wa kuchinja kuku!!

Alikuwa anapenda kusema sharia sharia akirejea kifungo cha uhaini cha viongozi wa Cuf
 
Hivi Mwinyi kuna wakati alimwita chinjachinja? Halafu Watu walipopiga kelele akasema Salmin ni mahiri wa kuchinja kuku!!

Alikuwa anapenda kusema sharia sharia akirejea kifungo cha uhaini cha viongozi wa Cuf

Aliwahi kumtupia Kijembe Seif kuwa Serikal ya Mapinduzi wala Wana Mapinduzi huwa hawachezewi chezewi Kama unavyochezea Ndevu zako!
 
Madaraka yanalevya. Ndiyo maana Jumbe alipostaafishwa akatulia zake na kutubu.

Alikuwa Jeuri sana na laiti angekuwa Rais Zahma hizi za JPM Moto ungewaka,

alipowekewa Vikwazo na Umoja wa Ulaya vya kiuchumi na kutosafiri kutokana na mgogoro wa Uchaguzi 1995 aliwaambia Tembo na Ukubwa wake wote Hana Ubavu wa kuzuia Riziki ya Sisimizi!
 
Aliowatukana na kuwatesa akina Juma Duni inasemekana ndio wanaomuuguza , akina Shamhuna wamekimbia !!! Hii dunia kila siku inaelimisha tu .
 

Ni wapi kwenye huo Wosia wa Jumbe alitumia neno Kafiri? Wewe umelitoa wapi hilo neno na ulimaanisha nani ndio Kafiri?
 
Mzee Salmin Amour Juma yupo nyumbani kwake Migombani nje kodogo ya Mji wa Zanzizar ametulia anakula mafao.

Pamoja na ukomandoo wake wote alishindwa kuibadili katiba ili atawale kwa awamu ya tatu.

Pia mwaka 1999 alikiri kwa alekuwa katibu mkuu wa jumuiya ya Madola chifu Emeka Anyaoku kwamba hali ya Zanzibar haikuwa nzuri kutokana na ushindi mkubwa wa Pemba kutiwa kapuni.

Mama Salma nae, binti wa "Ilala qarters" na Arusha Town naona kimya.

Halafu kuna mama anaitwa Fatma pale Copenhagen au Stockholm naona atakuwa nae anatupatupa vijisenti kidogo vya "up keep".

Kheri ya Pasaka.
 
Ni wapi kwenye huo Wosia wa Jumbe alitumia neno Kafiri? Wewe umelitoa wapi hilo neno na ulimaanisha nani ndio Kafiri?
Kiswahili si lugha yangu ya pili, Rejea nilionukuu kutoka kwa Wosia wa Jumbe.
"SITAKI Beni, SITAKI Mizinga, SITAKI maombolezo wala lolote lingine lenye hata chembe ya kufuru". MTENDA KUFURU NI KAFIRI
 
ABDULRAHMAN KINANI ako wapi?
 
Haya maisha we acha tu jamaa aliingia mikononi kwa manzi wa kaskazini, wakaja achana Mzee wa Libya alimzidi kete. Mzee naye bahati mbaya akatolewa madarakani na kupotezwa kabisa kule Libya manzi akakosa tawi la kushika. Ikabidi arudi ground kufanya ujasiliamali wa hapa na pale. Anaproduce maji ya kunywa ameona ashindane na akina barkhesa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…