N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,331 Reaction score 12,855 22 minutes ago #1 Huyu mwanadada alikuwa anamwandiko mzuri akiandika unasisimka. Yuko wapi huyu mdada. N'yadikwa
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 8,598 Reaction score 20,161 21 minutes ago #2 Kizee kinajilia pension yake na dogo dogo wake huko.
Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 7,597 Reaction score 22,423 21 minutes ago #3 Kuna mtu anamuandiko kama wake kule X zamani twitter.
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 8,598 Reaction score 20,161 20 minutes ago #4 Sijamuona bi Faiza kifimbo cheza muda mrefu pia. FaizaFoxy
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 20,719 Reaction score 39,450 18 minutes ago #5 Kunakupumzika jamani