Yuko wapi Johnthebaptist?

Hivi tukimuuliza mzushi mwenzie Tlaatlaah naye hajui alipo kweli?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mungu ni mwema wakati wote
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mungu ni mwema wakati wote
Karibu joni joni,baada ya kuhakikisha aliye ng'oa ule mbuyu ukioumwagilia sikuzote tangu ukiwa kama mchicha hadi kuwa mbuyu,umemtia lupango kwa fitna na uzushi hatimaye umejitokeza hadharani.
 
Amerudishwa sober house hali imezidi kuwa tete
 
Wakuu huyu memba mwandamizi kada wa ccm ya kale na mshabiki wa Chadema kisiri siri yuko wapi? Sijamsikia tangu JF ilipofungiwa.

Au alikula shaba ile Oct29?

Mwenye taarifa zake atujuze au Mshana Jr kama unaweza fanya mambo ya kitamaduni tujue yuko wapi huyu member wa ccm
 
Umekuja kujiulizia kwa ID nyingine?
 
Watakuwa walimla ya kichwa maeneo ya tegeta kwenye bar za kuuza pombe za kienyeji alizokuwa anazihusudu sana! Acha nitangulize R.I.P mwanazengo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…