Yuko wapi Jerry Muro? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi Jerry Muro?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mukama talemwa, Jan 10, 2012.

 1. m

  mukama talemwa Senior Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yuko wapi huyu jamaa baada ya kushinda kesi yake,au sheria inasemaje si anatakiwa kurudishwa kazini?Huyu jamaa angesaidia saana kufichua madhambi na uozo wa idara mbalimbali za serikali na idara zake.
   
 2. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yupo humu mjni nimemuona jana ofisi fulani.
   
 3. M

  Manyema JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  weekend km mbili zilizopita nilimuona pale ze Calabash pub Mwenge alikuwa na mkewe wanagonga vitu..!
   
 4. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Badili avator yako jamani
   
 5. M

  Manyema JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  kwa nn nibadili Avator yangu na mm naipenda..! ina represent maisha ya watanzania walio wengi.!
   
 6. m

  mukama talemwa Senior Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwahiyo Tbc wamemtema kesi kashinda sasa kwanini hawajamrudisha kazini?
   
 7. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,083
  Trophy Points: 280
  yuko channel 10 ameajiriwa
   
 8. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Real? daaa! jamaa namkubali sana, but TBC cjui vp,taratibu c ziko wazi mtu akiwa na kesi analipwa nusu mshahara hadi hukumu itoke? kama kashinda analipwa malimbikizo ya ile nusu yote kwa miezi yote kisha anaendelea na kazi kama kawa?
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Anakula honey moon bado
   
 10. s

  shee leo Senior Member

  #10
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yupo na wife wake cjui mmarekan yule au mwingereza lakin kizungu kidada kikali vibaya.
   
 11. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  kama hajapata kazi anitafute
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,759
  Trophy Points: 280
  jerry kaoa mchaga
   
 13. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [h=3][/h]Huyu hapa anakula bata..........

  [​IMG]

   
 14. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kweli hilo domo inanikumbusha jamaa mmoja tulikuwa tunamwita domokaya
   
 15. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  yule ni mixer ya mzungu na mnyarwanda
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mixer ya mzungu na mnyarwanda anatokea mchaga,lol
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mkataba wake uliisha kabla ya hukumu..
   
 18. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Thanks mkuu,sitamsahau alivoibua uozo wa trafiki polisi chek point Igumbiro pale Iringa,,walikuwa wanatutesa sana madereva wa malaori,full manyanyaso, walitimuliwa kazi jamaa watano hivi,wengine kuhamishwa baada hapo kuna kajidiscipline flani kwenye utendaji wao!
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  huyu jamaa bado yupo honeymoon...
   
 20. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Siyo mzaramo yule dada, kumbe kuna wachaga wana huruka za kimakando na kizaramo eheee!
   
Loading...