Yuko wapi Jerry Muro?

Yuko wapi Jerry Muro?

Jerry muro alikuwa mpigaji wa makorongwee!si mtu safi kama anavyoonekana na watu wengi!
 
Jamaa ni kamanda wa ukweli sana.Nadhani Tido alivyoondoka hakukuwa n mtu wa kujua umuhimu wake tena.
 
Ahh wap,yule dada ni msweden kamix na tz ,mchaga na nywele za kizungu wap na wap?mchaga atabakia kuwa mweupe lakini kipilipili palepale hata uweke dawa gani kichwani utajulikana 2 kuwa asili yako kipilipili
Ushawahi waona wamachame au wairaki? Unaweza ukafikiri point tano kumbe mswazi,so usidanganyike na rangi utamu wa chai sukari.
 
Jamaa yuko shule chuo cha Tumaini dar mwaka wa pili anajipiga msasa ili akirudi afanye kazi kwa ufanisi zaidi, kwahiyo wezi wote mkae chonjo......
 
Mwaka wa pili masters? Manake ana digirii ya political science and public admin ya udsm..
Jamaa yuko shule chuo cha Tumaini dar mwaka wa pili anajipiga msasa ili akirudi afanye kazi kwa ufanisi zaidi, kwahiyo wezi wote mkae chonjo......
 
Tangu kesi yake imalizike mpaka leo sina taarifa za huyo bwana..Jamani msaada kwa anaye jua anapatikana wapi na anafanya nini?
 
hivi huyu mtu ndio kapotea kabisa?!
jackbaur.
hajapotea tungetangaziwa tbc kama angepotea kana mtu alileta uz humu kuwa anafukuzia uponge kawe am toe mdee kupitia ccm so anafanya upembuz yakinifu
 
Jamaa kasharudi TBC anakula mshahara wake kama kawaida
 
Alirudi TBC kuna kipindi alikuwa anakifanya jina nimelisahau ila nakumbuka kama kilikuwa cha maswala ya afya huko vijijini na kwasasa yupo Tumaini University campus ya dar anasoma shahada ya kwanza ya uandishi wa habari
 
Tangu kesi yake imalizike mpaka leo sina taarifa za huyo bwana..Jamani msaada kwa anaye jua anapatikana wapi na anafanya nini?

huwa namuona akiendesha kipindi cha Benjamin Wiliam Mkapa Foundation.
 
Ahhhh watz wengi mko hivi kweli? Labda kwa sura ya kukata tamaa si kwa uteja
kwa nn nibadili avator yangu na mm naipenda..! Ina represent maisha ya watanzania walio wengi.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom