Miwaya inatisha sana ila tunajaribu kuikwepa kaka ,natembea na JIPIME zaidi ya tatu kwenye kibegi changu au kibriefcase si unajua tena .
Sikumbuki ni mara ya mwisho lini nilimpima dada wa bar nikamkuta na maambukizi ,hili sio jipya mjini maana hata viral load hushuka ikiwa yuko njema kubwia maharagwe vziuri na kwa wakati ila sasa nautolea wapi ujasiri wa kwenda kavu na ilihali wanaopitia changamoto hiyo nashinda nao mimi ,nawashauri mimi na zaidi kuwaunganisha na wenzi wao wa maisha ?
Inafikirisha sana ila tuendelee kuishi tu kikubwa tujilinde ili kukilinda kizazi chetu