Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

Kwahiyo kuna matajiri wanawapa watu magari yao, nyumba na fedha ili wajionyeshe tu? Hao matajiri wanapata nini in return?
Project za chama chawala kuwaweka watu busy wasifuatilie mambo ya msingi

 
Cc Mbaga Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…