mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
mnatakiwa mjifunze kujenga hoja za kumtetea lisu badala ya matusi itawasaidia kujenga chama chenu.hakuna chama kinachojengwa Kwa matusi .Acha kuandika risala we Bi Mkubwa
mnatakiwa mjifunze kujenga hoja za kumtetea lisu badala ya matusi itawasaidia kujenga chama chenu.hakuna chama kinachojengwa Kwa matusi .Acha kuandika risala we Bi Mkubwa
Wahuni wameuza bandari wapate pesa ya kununua baiskel,🤣🤣🤣.NYUMBU wa lisu hamna HOJA MKIBANWA KIDOGO MKIMBILIA MATUSI.mnaonyesha ni jinsi gani Sasa hivi chadema imebakiwa na wahuni.
Bora hao kuliko NYIE msiojua kujenga hoja kutetea chama chenu.Wahuni wameuza bandari wapate pesa ya kununua baiskel,
Wahuni wameteka zaidi ya Watanganyika 200,
Wahuni wameuza Ngorongoro
Wahuni wamefisadi nchi
Wahuni wameuza CCM yote mfukoni Kwa wahuni
Hoja utaielewa hapo ushahongwa wali na tshirts unasubiri Bashite ashinde akuletee Vandame ukenue hiyo minjino ya njanoBora hao kuliko NYIE msiojua kujenga hoja kutetea chama chenu.
Hii hoja utatukanwa weeeeUfala wa Mbowe unahusu vipi jamii......, mimi ninayetambua maadui zetu ni Ujinga, Umasikini na Magonjwa na kwa karne hii worldwide siasa ni platform za watu kupitia kupata Kura kwenda Kula; siwezi kuangahika na individuals katika maamuzi ya maisha yao ingawa pia nikiona majority wanawekeza muda wao huko sio mbaya tukikumbushana matumizi mabovu ya rasilimali muda..,
Wakati nyie panzi mnaendelea kupambana Mwewe anaendelea kuwatafuna mmoja mmoja (na Hapa panzi sisemi ni Upinzani pekee bali hata Mende CCM) kwa kukosa Vision na Uzalendo; Mwewe ni Developed Countries zinazoendelea kutafuna haya mataifa (Africa as a Whole)
That is the Bigger Picture (tusiangalie mambo katika Pixel Level) tutashindwa kupataTaswira....
sawa mwanachama wa chadema.Hoja utaielewa hapo ushahongwa wali na tshirts unasubiri Bashite ashinde akuletee Vandame ukenue hiyo minjino ya njano
Kilichoipoteza hiyo CUF ni matusi?mnatakiwa mjifunze kujenga hoja za kumtetea lisu badala ya matusi itawasaidia kujenga chama chenu.hakuna chama kinachojengwa Kwa matusi .
Mkuu unashangaa nini mtu mwenyewe anajiita mjinga yeye.Aisee mnaongea aya maneno mkiwa na akili timamu
The funny part wanaomtetea Mbowe sasa hivi ni hawa chawa wa bi Urojo.Mbowe alizoea kuishi kwa siasa za kilaghai siasa kupitia damu za watu na kutengeneza wealth. Alivyokuja mwamba Magufuli akaona kumbe upinzani wanapiga kelele then unawaita Ikulu unawapa bahasha zenye minofu then wanatulia baadae njaa ikiuma wanawasha tena moto then unawaita tena mzee akaona hamna upinzani. Bora pesa hizo zipelekwe kwenye miradi ya Maendeleo ndo maana Magufuli pesa ya kufanyia maendeleo aliipata pamoja na kwamba alikua anakopa na kazi ilikua inafanyika tuliona.
Magufuli akaondoka mzee Mbowe akarudi kuendeleza siasa za nusu mkate hapa ndo akakutana na Jabali jingine linaitwa Antiphas Lissu Mgwahi huyu ndo kamtupa nje kabisa kwenye siasa za tanzania. Mbowe alishindwa kusoma majira na nyakati. Mbowe ameshindwa kufika hata Mahakamani kumuona mwenyeki wake? Chadema kwa nini mpaka mda huu hamjamfukuza uanachama Mbowe au mnamuogopa?
View attachment 3480328
Labda kwa Saa 100.Mbowe ana ushawishi mkubwa kuliko lisu
Mbowe hawezi kupandisha chama ila wananchi ndo wanaweza kupandisha chama ndo maana Mbowe wamemkataa unavyosema CUF ilikua zaidi ya unajua population ya kipindi kile na sasa ni tofauti kama hujui hata population maana yake hatuwezi kubishana population ya miaka hiyo Naweza KUSEMA CUF bado cha mtotoHuna ulijualo dogo.kabla ya chadema alikuwepo CUF ya Ibrahim lipumba na marehemu mzee sharifu hamad kipindi hicho ndo walikuwa chama kikuu Cha upinzani.chadema chamtoto.
Mwaka 2005 mnyika anakuja mansese kwenye kampeni anagombea ubunge wa ubungo Kuna watu hata 100 hawafiki.ila mbowe akaja kukipaisha chama hadi chadema hyo unayoiona na kuwa chama kikuu Cha upinzani.TATIZO NYIE WATOTO WA 2000 MNAMJUA LISU.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Akili za kushikiwa ni shida. Ati Mbowe kawachelewesha!! Haya Sasa mmewahi. Chama hakitakuwa na diwani Wala mbunge Kwa miaka mitano ijayo huko ndio kuwahi🤣🤣🤣Mpuuzi yule.katuchelewesha sana ana roho mbaya sana
Mkuu nje ya mada. Hii tagline yako ya kupiga nyungu na malimau imepitwa na,wakati, badilishaMbowe ana ushawishi mkubwa kuliko lisu