mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Naienzi coronaMkuu nje ya mada. Hii tagline yako ya kupiga nyungu na malimau imepitwa na,wakati, badilisha
Naienzi coronaMkuu nje ya mada. Hii tagline yako ya kupiga nyungu na malimau imepitwa na,wakati, badilisha
Haya maneno unayoyasema sasa hivi mlikuwa mnayapinga yakisemwa na wapambe wake kipindi akiwa mwenyekiti.Mbowe ni mtoto wa bilionea. Yeye binafsi ni mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji cha hali ya juu. Hajatafutia hela CHADEMA.
Nasikia aliumizwa sana na haya MaandamanoKamanda Mbowe kajificha
Alikuwa mabilioni ya udalali kuuza watu toka chadema kwenda Chaumaccm chauma ubwabwa akawadanganya ccm kuwa Chauma itakuwa kubwa kuliko Chadema akapewa pesa nyingi akala na Amos makala akamponza na kutenguliwa ukatibu mwenezi sasa yupo Arusha anasota na ukuu wa mkoa, Mbowe ni mwizi sana hafai kwa loloteMbowe alizoea kuishi kwa siasa za kilaghai siasa kupitia damu za watu na kutengeneza wealth. Alivyokuja mwamba Magufuli akaona kumbe upinzani wanapiga kelele then unawaita Ikulu unawapa bahasha zenye minofu then wanatulia baadae njaa ikiuma wanawasha tena moto then unawaita tena mzee akaona hamna upinzani. Bora pesa hizo zipelekwe kwenye miradi ya Maendeleo ndo maana Magufuli pesa ya kufanyia maendeleo aliipata pamoja na kwamba alikua anakopa na kazi ilikua inafanyika tuliona.
Magufuli akaondoka mzee Mbowe akarudi kuendeleza siasa za nusu mkate hapa ndo akakutana na Jabali jingine linaitwa Antiphas Lissu Mgwahi huyu ndo kamtupa nje kabisa kwenye siasa za tanzania. Mbowe alishindwa kusoma majira na nyakati. Mbowe ameshindwa kufika hata Mahakamani kumuona mwenyeki wake? Chadema kwa nini mpaka mda huu hamjamfukuza uanachama Mbowe au mnamuogopa?
View attachment 3480328
Aibu ya kuchukua pesa ccm ili aidhoofishe chadema aipaishe chauma dili limebumaKamanda Mbowe kajificha
Aibu ya kuchukua pesa ccm ili aidhoofishe chadema aipaishe chauma dili limebuma kaamua kujifichaKamanda Mbowe kajificha
Aibu ya kuchukua pesa ccm ili aidhoofishe chadema aipaishe chauma dili limebuma kaamua kujifichaKamanda Mbowe kajificha
Mbowe ni mwizi siku nyingi na pia ni mchoyo mno akipata chochote hula mwenyeweNilishaanza kumstukia mbowe kuwa yupo kimaslahi hata akiua wenzake mwaka 2008
Alianza siku nyingi sana hizi mamboz ila yeye ni CCM pure
Yule Machamee hatariMbowe ni mwizi siku nyingi na pia ni mchoyo mno akipata chochote hula mwenyewe
Mbowe kama mbowe peke yake hakuwa na mvuto alikuwa akibebwa na muunganiko wa viongozi wengine wakweli ingawa yeye alikuwa m’binafsi mwizi mzinzi kwa wanawake wa viti maalum, kwa kifupi Mbowe wa sasa ni Dalali wa Siasa kama Wenje, biashara yake kubwa ni kutoa watu chadema kuwapeleka chauma chama cha mfukoni mwa ccmHuna ulijualo dogo.kabla ya chadema alikuwepo CUF ya Ibrahim lipumba na marehemu mzee sharifu hamad kipindi hicho ndo walikuwa chama kikuu Cha upinzani.chadema chamtoto.
Mwaka 2005 mnyika anakuja mansese kwenye kampeni anagombea ubunge wa ubungo Kuna watu hata 100 hawafiki.ila mbowe akaja kukipaisha chama hadi chadema hyo unayoiona na kuwa chama kikuu Cha upinzani.TATIZO NYIE WATOTO WA 2000 MNAMJUA LISU.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbowe hafai ni mwizi sana lakini ni Dhaifu kwa wanawake na ndiyo humlia pesa anazokwapua kwa njia haramuYule Machamee hatari
Mdhaifu au Mshamba wa Madem, halafu jamaa Libinafsi sanaMbowe hafai ni mwizi sana lakini ni Dhaifu kwa wanawake na ndiyo humlia pesa anazokwapua kwa njia haramu
Mbowe alijenga chama kipi peke yake? Chama ni umoja na wengi hujenga chama, matusi ni kumsifia mbowe ambaye ni mwizi mkubwamnatakiwa mjifunze kujenga hoja za kumtetea lisu badala ya matusi itawasaidia kujenga chama chenu.hakuna chama kinachojengwa Kwa matusi .
Hilo halina ubishi ni ukweli usio na shakaMdhaifu au Mshamba wa Madem, halafu jamaa Libinafsi sana
Namfahamu sana, jamaa alianza wizi mkubwa 2008Hilo halina ubishi ni ukweli usio na shaka
Mbowe ni mwizi hana kipaji chochote si mtoto wa bilionea bali baba yake alikuwa na utajiri wa kawaida tu siyo wa ubilionea, Mbowe katajirika kwa wizi wa pesa za chadema, pesa za Asali alipotoka jela, Pesa za udalali kutoa watu chadema kuwauza chauma, Mbowe kajaa pesa Haramu ndiyo maana kajificha ale kimya kimya kwa kuwa ana Tabia ya uchoyo uliopitilizaMbowe ni mtoto wa bilionea. Yeye binafsi ni mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji cha hali ya juu. Hajatafutia hela CHADEMA.
Mbowe ni tapeliAlikuwa mabilioni ya udalali kuuza watu toka chadema kwenda Chaumaccm chauma ubwabwa akawadanganya ccm kuwa Chauma itakuwa kubwa kuliko Chadema akapewa pesa nyingi akala na Amos makala akamponza na kutenguliwa ukatibu mwenezi sasa yupo Arusha anasota na ukuu wa mkoa, Mbowe ni mwizi sana hafai kwa lolote