Huna ulijualo dogo.kabla ya chadema alikuwepo CUF ya Ibrahim lipumba na marehemu mzee sharifu hamad kipindi hicho ndo walikuwa chama kikuu Cha upinzani.chadema chamtoto.Wewe na familia yako mtabaki kuwa nyumbu wa Mnafiki mbowe
Tuseme hata kama kweli alikuwa Polisi ? Je yeye haruhusiwi kusikiliza Kesi au tunaanza kuhukumu watu hata kabla ya deed ?!!!Chadema waliita wanachama wajitokeze waende kuskiliza kesi ya Lissu mahakamani jamaa mmoja wa Kimara King'ong'o kaenda kawahi kuingia ndani baadae anatolewa na watu wa chadema mahakamani anaitwa eti ni polisi kavaa kiraia watu kama hao ndo wanavunjwa moyo hata kujitokeza kwasababu hizohizo akijitokeza mtu mmoja mwenye mihemko akazusha neno la kufikirika wanachama wote wanaripuka nalo bila hata kuhoji na kuanza kujidhuru wao kwa wao ndo maana wanaitwa nyumbu
Mzee yule jamaa ni poti kama unabisha weka dau mezani niweke mambo hazarani usichokijua usiropoke jamaa najua hadi alipozaliwaChadema waliita wanachama wajitokeze waende kuskiliza kesi ya Lissu mahakamani jamaa mmoja wa Kimara King'ong'o kaenda kawahi kuingia ndani baadae anatolewa na watu wa chadema mahakamani anaitwa eti ni polisi kavaa kiraia watu kama hao ndo wanavunjwa moyo hata kujitokeza kwasababu hizohizo akijitokeza mtu mmoja mwenye mihemko akazusha neno la kufikirika wanachama wote wanaripuka nalo bila hata kuhoji na kuanza kujidhuru wao kwa wao ndo maana wanaitwa nyumbu
Dau la nini acha utapeliMzee yule jamaa ni poti kama unabisha weka dau mezani niweke mambo hazarani usichokijua usiropoke jamaa najua hadi alipozaliwa
Sasa Hizi Pumba zoote nani amekuambia anazihitaji? Umezoea mipasho sana we Mwanamke🤣🤣🤣Huna ulijualo dogo.kabla ya chadema alikuwepo CUF ya Ibrahim lipumba na marehemu mzee sharifu hamad kipindi hicho ndo walikuwa chama kikuu Cha upinzani.chadema chamtoto.
Mwaka 2005 mnyika anakuja mansese kwenye kampeni anagombea ubunge wa ubungo Kuna watu hata 100 hawafiki.ila mbowe akaja kukipaisha chama hadi chadema hyo unayoiona na kuwa chama kikuu Cha upinzani.TATIZO NYIE WATOTO WA 2000 MNAMJUA LISU.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Politicalpreneur mmojaMbowe nimwana Demokrasia, na hiyo ndo Demokrasia.. nasema uongo ndugu zangu?
Akikushawishi utampa?Mbowe ana ushawishi mkubwa kuliko lisu
Jibu swaliMbowe ni mtoto wa bilionea. Yeye binafsi ni mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji cha hali ya juu. Hajatafutia hela CHADEMA.
Ndo maana nimekwambia wewe ni mtoto wa 2000.Sasa Hizi Pumba zoote nani amekuambia anazihitaji? Umezoea mipasho sana we Mwanamke🤣🤣🤣
wewe ushampa?Akikushawishi utampa?
Mbwa mwitu utamjua katika kondooChadema waliita wanachama wajitokeze waende kuskiliza kesi ya Lissu mahakamani jamaa mmoja wa Kimara King'ong'o kaenda kawahi kuingia ndani baadae anatolewa na watu wa chadema mahakamani anaitwa eti ni polisi kavaa kiraia watu kama hao ndo wanavunjwa moyo hata kujitokeza kwasababu hizohizo akijitokeza mtu mmoja mwenye mihemko akazusha neno la kufikirika wanachama wote wanaripuka nalo bila hata kuhoji na kuanza kujidhuru wao kwa wao ndo maana wanaitwa nyumbu
We siumesema akikushawishi hadi ukavua mwenyewewewe ushampa?
🤣🤣🤣.Kwa akili hizo ndo mnataka lisu achukue nchi.?We siumesema akikushawishi hadi ukavua mwenyewe
Lissu alikutia mimba akaikana Nini?🤣🤣🤣.Kwa akili hizo ndo mnataka lisu achukue nchi.?
Lisu amezungukwa na vijana wapumbavu kama yeye mwenyewe.
🤣🤣🤣.NYUMBU wa lisu hamna HOJA MKIBANWA KIDOGO MKIMBILIA MATUSI.mnaonyesha ni jinsi gani Sasa hivi chadema imebakiwa na wahuni.Lissu alikutia mimba akaikana Nini?
Mbona una chuki sana na Lissu.
We nenda Kwa Mbowe aliyekushawishi ukampatiA
Acha kuandika risala we Bi MkubwaNdo maana nimekwambia wewe ni mtoto wa 2000.
Huna ulijualo.kizazi Cha lisu ni manyumbu.chadema ilisukwa ikawa na watu ni kazi ya mbowe.mbowe ana heshima yake hapo chadema.
Wanasiasa WOTE unaowaona walikuwa wanatikisa waliibuka kipindi Cha mbowe.mbowe alipewa mpaka kuwa kiongozi mkuu wa Kambi ya upinzani bungeni.wewe unajua nini NYUMBU🤣🤣🤣.