Yuko wapi FreeMan Mbowe kamanda wa anga?

Yuko wapi FreeMan Mbowe kamanda wa anga?

Mbowe ni mtoto wa bilionea. Yeye binafsi ni mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji cha hali ya juu. Hajatafutia hela CHADEMA.
kwenye sakata la kulamba asali supota nguli wa mwamba , MMM alikua akitoa majibu hayo dhidi ya hoja ya kulamba asali , siku ya kuzindua dira hakuamini macho yake 😁
 
Mchana analima...
1759060537121.png


Usiku anarudi nyumbani kwake...

1759060634304.png
 
Kwamba sasa hivi adui ashakua Mbowe ?; Muendelezo wa Divide and Rule..., Mpaka siku tutakapojikita kwenye maadui wa Kweli Ujinga, Umasikini na Maradhi tutaendelea na Same Script different Cast... At the same time Status quo wanaendelea na burudani zao...
Mbowe ni fala tu
 
Nasikia kabadili gia kwa sasa yupo anga zambali zaidi

snitching!
Mbowe ni mtu mmoja mjinga sana Mbona Jakaya Kikwete tunamskia kwenye chama chake anaongea Japokua hapendwi
 
Mwenye busara akivuliwa nguo huchutama. Zama za kamanda wa anga zimepita japo angeacha heshima kama asigegombea uchaguzi ule wa mwanzoni mwa mwaka.
Yule jamaa alivyotaka kugombea tena ndo nikajua huyo jamaa ni mjinga unashidwa kusoma hata nyakati kwamba kwa sasa mda hauko Upande wangu
 
Mbowe ni fala tu
Ufala wa Mbowe unahusu vipi jamii......, mimi ninayetambua maadui zetu ni Ujinga, Umasikini na Magonjwa na kwa karne hii worldwide siasa ni platform za watu kupitia kupata Kura kwenda Kula; siwezi kuangahika na individuals katika maamuzi ya maisha yao ingawa pia nikiona majority wanawekeza muda wao huko sio mbaya tukikumbushana matumizi mabovu ya rasilimali muda..,

Wakati nyie panzi mnaendelea kupambana Mwewe anaendelea kuwatafuna mmoja mmoja (na Hapa panzi sisemi ni Upinzani pekee bali hata Mende CCM) kwa kukosa Vision na Uzalendo; Mwewe ni Developed Countries zinazoendelea kutafuna haya mataifa (Africa as a Whole)

That is the Bigger Picture (tusiangalie mambo katika Pixel Level) tutashindwa kupataTaswira....
 
Ufala wa Mbowe mimi ninayetambua maadui zetu ni Ujinga, Umasikini na Magonjwa na kwa karne hii worldwide siasa ni platform za watu kupitia kupata Kura kwenda Kula; siwezi kuangahika na individuals katika maamuzi ya maisha yao ingawa pia nikiona majority wanawekeza muda wao huko sio mbaya tukikumbushana matumizi mabovu ya rasilimali muda..,

Wakati nyie panzi mnaendelea kupambana Mwewe anaendelea kuwatafuna mmoja mmoja (na Hapa panzi sisemi ni Upinzani pekee bali hata Mende CCM) kwa kukosa Vision na Uzalendo; Mwewe ni Developed Countries zinazoendelea kutafuna haya mataifa (Africa as a Whole)

That if the Bigger Picture (tusiangalie mambo katika Pixel Level) tutashindwa kuelewa Taswira....
Mbowe ni fala tu Mwenyekiti wake yuko ndani yeye anatokea kuonekana kwenye Dira ila kufika mahakamani anashidwa kwa hiyo Mbowe mda wote alikua na kinyongo na hasira kwa Lissu Bible imetamka wazi hasira zinakaa kifuani kwa mtu mpumbavu
 
Tulipo hata wangesema ifanyike reform na chadema isipige kampeni , saa nne mbali sana ,chadema inachukua nchi, chama kimeimarika kuliko jana
 
Mbowe ni fala tu Mwenyekiti wake yuko ndani yeye anatokea kuonekana kwenye Dira ila kufika mahakamani anashidwa kwa hiyo Mbowe mda wote alikua na kinyongo na hasira kwa Lissu Bible imetamka wazi hasira zinakaa kifuani kwa mtu mpumbavu
And yet unahangaika na wapumbavu na mafala waliojiweka kando badala ya manyangau na majambazi wanaoendelea kula kodi zako ?

Mbili zile kauli alizokuwa anatoa Lissu wakati wa Kampeni /Kugombea unajuaje kama hazikumuuzi ? Kinyongo na Hasira ni vya kwake na kama ni mwizi kiasi hiki na watu wote wamekaa nae miaka na miaka kama mwenzao leo hii ghafla ndio amekuwa chanzo cha matatizo yote says a lot about their Intelligence...

Tujikite kwenye current issues zinazotutafuna wote hayo mengine yawe mazungumzo baada ya Habari na Sio main content
 
Back
Top Bottom