Yuko wapi Dr. Stephen Ulimboka?

Yuko wapi Dr. Stephen Ulimboka?

Yupo
ngaja kukuche ataingia JF kujibu
Siasa na Malumbano alishaacha,
keshapata trip nyingi tu za nje, mara ya mwisho nilisikia alikuwa Uganda
Sasa hivi yupo kwao DSM anaishi kwa amani
Tanzania bwana Nchi ya amani ukiiulia muulize Zitto kamwachia kimbembe Kafulila
 
Mambo yake mazuri sana siku hizi,kalipwa vyema sana maumivu yote yameisha!Anaonekana sana mara nyingi Bahari Beach akifanya mazoezi
 
Chezea vyote ila sio system kuna watu walifikiri kwamba Ulimboka baada ya kurudi2 angefanya movement upya,kaufyata mkia sawasawa!
 
Bibi yangu mzaa babu mara ya mwisho kumuona ilikukuwa tabata alishindwa hata kutamka neno uji kwani bila meno huwezi kutamka vizuri dr wetu
Hivi sa kawa mtii na mwanachama wa chama cha mapinduzi
 
Heri aliaye sasa maana atanyamazishwa.
Walimkalisha chini wakamuuliza tatizo nn?
Maslahi yako? Au ya wenzako?
Akasema yangu kwanza wakamwambia haya ingia kivulin huku.
Sasa hvi kasahau kama kuana wenzake wanalipwa kidogo
 
Tanzania kuna amani!:
1. Liwalo na liwe...Ulimboka kaumia
2. Wapigwe tu....Mwangosi kafa, Kibanda kang'olewa jicho
n.k
Amani au ukandamizaji?
 
Mambo yake mazuri sana siku hizi,kalipwa vyema sana maumivu yote yameisha!Anaonekana sana mara nyingi Bahari Beach akifanya mazoezi

Je, na yale meno waliyomng'oa bila ganzi kule mabwe pande wamemrudishia????
 
Yupo mjini shavu dodo anafanya mambo yake. Kanusurika kifo kaufyata (kama wawakilishi wa Z'bar wa CCM kwenye Bunge la Katiba, cc bi Asha)
 
Kwani Afande Msangi nae yuko wapi siku hizi... Ndio mambo ya serikali za kifisadi zinazotumia fikra za makalio kuongoza nchi..

Afadhali Ulimboka yeye alinusurika kifo. Mwangosi alitangulia mbele ya Haki wakati Kamuhanda naskia karejeshwa makao makuu na mshahara juu..
 
Back
Top Bottom