mgoli magombe
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 121
- 27
Wana jf ningependa kujua alipo shujaa wetu ambae pamoja na usalama Wa taifa kutaka kumuua na kupambana na nguvu ya mungu na hatimae kupata kupona, yupo wapi jamani huyu mtu maana majanjawidi Wa magamba kazi yao kutesa tu.