Yuko wapi Dr. Stephen Ulimboka?

Yuko wapi Dr. Stephen Ulimboka?

Alitulizwa na****** ikabidi akae kimya
 
Aligundua kuwa wale wanasiasa wa matukio ndio walioucheza ule mchezo ili serekali na usalama walaumiwe nao wapate chakutokea.
Alipogundua hayo wakati alikuwa anawaunga mkono. Nawao ndio walimtuma alichoka akaamua kukaa kimya
 
Nimejikumbusha kusoma jinsi alivyosimulia Ulimboka wakati ametekwa, aisee nimeogopa sana.
Hawa binadamu waache kama walivyo.
 
Madactari bado wanaknyongo hata Havana amani
 
Jamani wa jf kuna mtu yoyote ana habari za Dr. Ulimboka? Toka amerudi Africa kusini hatusikii chochote, hebu nipeni update.
Daaah mkuu unanitia simanzi, huwa nikimkumbuka naichukia sana nchi hii
 
Back
Top Bottom