Vijana wengine ni kama wale waigizaji kwenye movie za kihindi, harakati nyingi lakini mwishowe utakuta mhusika mkuu anafia kwenye maua!
Huyu angetaka kudumu angerudi CCM. NCCR ni Karikoo atakujua nani?Jamani nisaidieni kuhusu alipo huyu kijana machachari aliyekimbia chadema na kwenda NCCR mageuzi na kupata cheo fasta huko. Akiwa chadema alikuwa hatulii mara anataka kugombea urais mara anaipondea chadema mwishowe akaamua kuvua gwanda na kujiunga na nccr kwa mbwembwe. Alipotua nccr akaulamba ukatibu wa vijana fasta na hakutulia kuipondea chadema na kuifagilia nccr baadae habari yake kwisha si humu jamvini bali hata kwenye media nyingne. Vp amepotelea wapi huyu mwanasiasa?
Vijana wengine ni kama wale waigizaji kwenye movie za kihindi, harakati nyingi lakini mwishowe utakuta mhusika mkuu anafia kwenye maua!
Vijana wengine ni kama wale waigizaji kwenye movie za kihindi, harakati nyingi lakini mwishowe utakuta mhusika mkuu anafia kwenye maua!
Usipende kuropoka kwa kitu usichokijuwa bwegge wewe, Pasco yuko bize na kazi zake, wewe kama unalipwa pesa kuwepo hapa JF ni wewe.Kuna wengi wamekimbia jf mkuu mfano pasco!