Yuko wapi D-Knob?

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,155
31,058
Huyu jamaa ni kipindi saa yuko kimya, nilikuwa naelewa sana ngoma zake kama elimu mtaani dot com, na nishike mkono.

Jamaa alikuwa mgumu sana katika kila kitu mpaka lifestyle lake, ila ni ipindi sasa sijamsikia. Anayejua kama bado yu hai tafadhali.

 
Screenshot_20210120-085509_Gallery.jpg
 
Huyu mwamba bana!

Halafu nyimbo yake ya elimu mtaani anaenda kwa manzi wake geti anahodisha kwa kuligonga na jiwe!

Ile geti kufunguliwa anapishana na msela ametoka kumgonga manzi wake! Jamaa anaona isiwe kesi anampora pesa manzi wake halafu anasepa!
 
Back
Top Bottom