Yuko wapi Balozi Emmanuel Nchimbi?


Yule mwenyewe MAFIA wakat ana post hiyo ukute alisha yeyaaaa nnje ya nchi..sidhani kama atakua mzembe kujianika kama dagaa wa mwanza mchangani
Pole pole alikuwa na utoto mwingi

Sasa aliekua anaenda Askari house anasema hapa wapi ?

Jamaa was not serious kabisa
 
Na hayupo Nchini na nchi pekee atakua yupo ni Marekani na waliemsaidia kuondoka ni USA ki ufupi aliyajua haya yanakuja and by this time anaweza akawa kashapewa uraia wa MAREKANI bwana manuuui sio BOYAAAAA
Unajua hata pole pole alitafutwa na msaidizi wa balozi wa USA kupitia page zake za instagram akaambiwa tutakutorosha pale pale airport uondoke TZ maan intelligence ya USA ilibaini pole pole ni kweli yupo province ya TZ , na ikabaini pia mbwa wa kijana wanamtafuta kumla
Naambiwa alimjibu huyo msaidizi kuwa yeye polepole yupo fine na hana sababu ya kuondoshwa
Unajua wazungu hawapendi sna kuonekana wana interfere mambo yetu . Jamaa wakamjibu sawa ila kilichotokea was predictable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…