Yuko wapi Angie wa 'My Boo'?

Bigbootylover

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
2,847
1,826
Hivi yuko wapi siku hizi yule binti mrembo wa kuitwa Angie, aliimba nyimbo nyingi ila ninayoikumbuka na kuipenda ni MY BOO
 
Mrembo sana..
ImageUploadedByJamiiForums1453659483.774961.jpg
 
Mwenye kujua updates za huyo dada jaman atuambie.
Kwa kweli nyimbo yake ya wewe alomshirikiaha Chid Benz ni bonge moja la wimbo.

Sijui kapotelea wapi ni kitambo kidogo toka 2008.
mashaala mtoto alikua poa sana niliskia ndo alikua yupo form six.
 
Angie kuna kipindi alkua anauza furniture sina uhakka km anaifanya bado siku hizi
 
Back
Top Bottom