Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,299
- 3,618
Nilikuwa nawahi kanisani kumuangalia Maria akisoma somo,nami siku moja nilipenda nioe mzungu niwe na mtoto kama Maria,ningependa siku tukae na Maria tuzungumzie nchi na taifa letu,sisi wamoja,pokea hizo za ICC.