Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 731
- 2,705
Au siyo!Ukifanya kazi sana, pumzika 😎
Tujuze mkuu😆😆😆😆😆
Pole!Mpigie kama una shida naye
waziri Mwizi wa vyetiNi kipindi kirefu sasa, ndugu yetu bwana Makonda hajatokea/ kuonekana isivyo kawaida!
Makonda ambaye pia ni Waziri anayesimamia Michezo na Habari, imezoeleka ni Kiongozi apendaye aonwe mara kwa mara kwa matukio yasiyo punguka, ni ajabu sasa ni karibu ya Mwezi hajafanya hivyo.
Si Kizimkazi, ukaguzi wa Viwanja vya Afcon ima vinginevyo Mtanzania mwenzetu-hatujamshuhudia isivyo kawaida!
Yu wapi jembe la Mama Kizz?!
LIKIZO!Ni kipindi kirefu sasa, ndugu yetu bwana Makonda hajatokea/ kuonekana isivyo kawaida!