Yu wapi Waziri mchapakazi bwana Makonda?

Ni kipindi kirefu sasa, ndugu yetu bwana Makonda hajatokea/ kuonekana isivyo kawaida!

Makonda ambaye pia ni Waziri anayesimamia Michezo na Habari, imezoeleka ni Kiongozi apendaye aonwe mara kwa mara kwa matukio yasiyo punguka, ni ajabu sasa ni karibu ya Mwezi hajafanya hivyo.

Si Kizimkazi, ukaguzi wa Viwanja vya Afcon ima vinginevyo Mtanzania mwenzetu-hatujamshuhudia isivyo kawaida!

Yu wapi jembe la Mama Kizz?!
Yeye na PM ake wamepigwa Stop
 
Ngoja msaidizi wa mwenyekiiti wa vijana UVCCM ndugu Tlaatlaah atakuwa na majibu kamili maana yupo kwenye kamati ya AFCON huwa wanaonana sana kwenye vikao
 
Ni kipindi kirefu sasa, ndugu yetu bwana Makonda hajatokea/ kuonekana isivyo kawaida!

Makonda ambaye pia ni Waziri anayesimamia Michezo na Habari, imezoeleka ni Kiongozi apendaye aonwe mara kwa mara kwa matukio yasiyo punguka, ni ajabu sasa ni karibu ya Mwezi hajafanya hivyo.

Si Kizimkazi, ukaguzi wa Viwanja vya Afcon ima vinginevyo Mtanzania mwenzetu-hatujamshuhudia isivyo kawaida!

Yu wapi jembe la Mama Kizz?!
DAB hana ishu, ni kijana asiye na adabu
 
Back
Top Bottom