Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,008
- 4,656
JF, Mtandao Pevu
Heshima Kwenu;
Yu Wapi Nguli huyu Wa Sheria?
Kesi Ya Godbless Lema,kupinga Matokeo ya Ushindi wake wa Ubunge 2010,Jimbo la Arusha Mjini, aliacha kila kitu kuhusu Taaluma Yake Mahakamani Pia,kama KIBATARA[Alivyonena Mahakamani-04.03 2022,juu ya Kesi Ya Ugaidi Ya MBOWE na Wenzake Wa TATU]. Mteja Wake Akashinda kesi.
Sijamsikia tokea hapo WAKILI huyu.
Nilitarajia atakuwepo kwenye hii kesi ya Ugaidi iliyofutwa ikiwahusu Freema A. Mbowe na wenzake,makomandoo watatu.
Anajulikana alipo au hajulikani?
Nawasilisha, Wadau nisafisheni macho. Kitambo mno jina hili silisikii kwenye tasnia ya Sheria.