Katika siku zote za uwaziri mkuu wake, Mh. waziri mkuu mstaafu EL alijisifia kuwa rafiki kipenzi wa kikwete. Mbona afanyi kampeni au anachangia tu kichinichini au yale mapenzi yameishia wapi? Alienda mbali na kusema "hakuna anayeweza kutugombanisha na jk kwani hatukukutana barabarani ila ni shemu nyeti na urafiki wetu ni madhubuti". Mbona anaelekea kumtosa mwenzake? Au yupo busy na kazi za kilaigwanani zaidi?