Yu wapi Lowassa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yu wapi Lowassa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msharika, Sep 4, 2010.

 1. M

  Msharika JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Katika siku zote za uwaziri mkuu wake, Mh. waziri mkuu mstaafu EL alijisifia kuwa rafiki kipenzi wa kikwete. Mbona afanyi kampeni au anachangia tu kichinichini au yale mapenzi yameishia wapi? Alienda mbali na kusema "hakuna anayeweza kutugombanisha na jk kwani hatukukutana barabarani ila ni shemu nyeti na urafiki wetu ni madhubuti". Mbona anaelekea kumtosa mwenzake? Au yupo busy na kazi za kilaigwanani zaidi?
   
 2. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Edward L, si waziri mkuu mstaafu!!!.
   
 3. D

  Dopas JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  EL ni waziri mkuu aliyefukuzwa sio msaafu. Alifukuza kwaajili ya kuhujumu uchumi. Kwa hiyo alikuwa mwizi na mzembe kazini. Alipaswa kuchukuliwa hatua zaidi ya kufukuzwa. Alipaswa kushtakiwa. Lakini nani atathubutu hilo wakati ni wote ni walewale? Matumaini yetu watanzania ni serikali ya kuleta mageuzi. CCM wanamtandao mkubwa wa mafisadi marafiki, hivyo kumchukulia hatua mwizi wa mali za umma ni vigumu. Tutegemee nini kama mshika mfuko ni RA, kiongozi wa kuratibu maswala ya uchaguzi ni AK aliyetuhumiwa juzi tu kwa kumiliki Meli iliyokamatwa na nyara za serikali. Hao wote ni wezi. Hao ndiyo viongozi wa CCM. Baada ya kukosa hoja ya kumkwamisha Dr. Slaa wameng'ang'ania tu kwenye maswala yake binafsi-ndoa yake. Hawana hoja nyingine ya kumkamata.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  kwani wewe hujui kuwa na yeye anajipigia kampeni huko Monduli....
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  na nyie bwana vichwa vyenu kama Makamba...Lowasa alijiuzuru uwaziri mkuu.wapi mmetamkwa kuwa alifukuzwa?
   
 6. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kuliona hilo. Jina sahihi ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu (kabla ya kufukuzwa?) kwa kashfa ya matumizi mabaya ya madaraka na ufisadi. Samahani naamini sijatukana:confused2:
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Yup Kigogo!

  Ni kweli kabisa yupo "bise" na kampeni!
  Kuna mtu wake wa karibu leo kanitonya kuwa ametoa thshs 90M kumsaidia Dr Batilda(Arusha Mjini), ambaye ni rafiki yake wa karibu!
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Lowasa yuko active kwenye kampeni ila si kwa kuwa vuvuzela majukwaani... na bado mchango wake ni mkubwa kuliko makamba kwenye uchaguzi huu, walio arusha na manyara wanajua
   
 9. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Anajiandaa kuteuliwa mwenyekiti wa CCM baada ya uchaguzi
   
 10. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #10
  Sep 4, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  F I S A D I !!!!!!
  Nashangaa sana, watu bado wanamchekea, anaingia tena bungeni!! kweli kuna watanzania walio viziwi na vipofu licha ya kuwa wana masikio na macho.:confused2:
   
 11. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Chunga wewe Unaelewa Mchango wa Lowassa kwa CCM ?kama sio Mzee lowassa CCM ingekuwa makaburi.
   
 12. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Mwanamke akiwezeshwa, anaweza!!!!
   
 13. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  He! kweli hiyo?????????????
   
 14. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2010
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni dhahiri kabisa mwanamke akiezeshwa anaweza tu ( there is no question about that):smile-big:
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  LOWASA kipenzi cha MWANAKIJIJI hatumuoni si kuhizi
  ninajiuliza sana sipati jibu kuwa, kwanini baada ya LOWASA kujiuzulu akaambatana na MCHAMBUZI ambaye alikuwa imara hapa jukwaani kutetea kasungura ka LOWASA?

  Jamani jamani
   
 16. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tofauti huja hapo tu...koz mwanaume hata asipowezeshwa huwa bado anaweza....koz atafight mpk aweza wakati mwanamke ni mpk awezeshwe ndo aweze.........................................Hakuna Usawa kamwe...............
   
 17. u

  urasa JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yupo ananunua magazti ya udaku ya kumchafua dr slaa na kuyasambaza bure
   
 18. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Yuko chimbo anajiuliza namna LAANA ya JK (original) = Julius Kambarage inavyomtafuna!!! Haitamuacha mpaka ahera atakwenda nayo.

  Ameshiriki mchezo mchafu wa kujenga daraja na kutenganisha walionacho na wasionacho ndani ya miaka kumi ya umarehemu wa JK (original). Ameshiriki kuingiza mtandao wa wafanya biashara ndani ya serikali ya Tanzania, kitu ambacho JK(original) alikemea kwa kusema bila kutafuna maneno "Ikulu si mahali pa kufanyia ulanguzi".

  Hesabu zake za kuwa raisi baada ya Kikwete ni sawa na kuchukua ziro ugawe kwa namba yoyote. Lazima ufulie. Huwezi pata jibu hata ufe!!

  Acha wamasai wamuabudu kwani akili zao ni sawa na zake tu!!
   
 19. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,986
  Likes Received: 1,043
  Trophy Points: 280
  Anatafakari namana ya kuwadhibiti kina; Ole Sendeka, Dr. Mwakyembe na Mama Anna Kilango. Kwahili nadhani yuko upande wa Chadema ili kuhakikisha wabunge hawa hawarudi tena ila anasahau ya kuwa Ikulu ataingia Dr wa Ukweli (WS) na yeye EL, lazima afikishwe Kortini tu.
   
 20. N

  Nsaji Mpoki JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2010
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 396
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu Domhome,
  EL anashughulika na media kumzuia Dr Slaa asiingie madarakani,anajua fika atakuwa si salama.Madudu aliyofanya yamemfanya akose usingizi samamba na Chenge,Rostam Aziz na Nazir Karamagi.Sasa hivi anampigia magoti Mengi na Diallo kuzuia Dr Slaa asiaccess media za hawa makada wa CCM
   
Loading...