Yu wapi Lowassa?

Yu wapi Lowassa?

Long after he is gone, tutaendelea kumjadili Lowassa. Thats a true measure of a great leader. Wengi wangeshakuwa wame-vanish baada ya vurugu kubwa ya powerful negative media iliyopigwa for three years starigh', lakini he is standing tall and proud today, wakati hiyo allegation imepukutika na kusambaratika na zinabakia great memories of what this great man has done to his beloved country, Tanzania, and that is unquestionable. I love the man, enough respect!
 
Mimi nilitegemea kuwa jamaa atawahonga wapinzani ili apite bila kupingwa.
 
Long after he is gone, tutaendelea kumjadili Lowassa. Thats a true measure of a great leader. Wengi wangeshakuwa wame-vanish baada ya vurugu kubwa ya powerful negative media iliyopigwa for three years starigh', lakini he is standing tall and proud today, wakati hiyo allegation imepukutika na kusambaratika na zinabakia great memories of what this great man has done to his beloved country, Tanzania, and that is unquestionable. I love the man, enough respect!
Yeah , we still talk about Hitler today.Not that he is a darling of society.We have much to learn from the shortest tenure in the PMs office in our history.
I am afraid history will not treat Lowassa kindly as you fondly put it.
 
LOWASA kipenzi cha MWANAKIJIJI hatumuoni si kuhizi
ninajiuliza sana sipati jibu kuwa, kwanini baada ya LOWASA kujiuzulu akaambatana na MCHAMBUZI ambaye alikuwa imara hapa jukwaani kutetea kasungura ka LOWASA?

Jamani jamani
Baada ya uchaguzi tu atakuwa waziri mkuu tena. Huo ndio mpango wa rafiki yake JK
 
raigwanani lowassa yuko bize kupunguza nguvu za slaa
 
Jamani mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni...EDWARD LOWASSA HAKUFUKUZWA KTK NAFASI YA UWAZIRI MKUU,BALI ALIJIUZULU KUTOKANA NA UTASHI WAKE,BUSARA ZAKE,HEKIMA ZAKE NA UWAJIBIKAJI WAKE...Ni kitendo cha kishujaa ambacho ni viongozi wakuu wachache wangethubutu...for that case I WILL ALWAYS ADMIRE HIM...
 
Nadhani anapanga namna ya kuakikisha Dr, ambaye ni mgombea wa Arusha mjini anaenda mjengoni hata kwa kupora kura. Ila huyo mama atoboi mbele ya Lema hata kwa hizo 90M
 
Yuko chimbo anajiuliza namna LAANA ya JK (original) = Julius Kambarage inavyomtafuna!!! Haitamuacha mpaka ahera atakwenda nayo.

Ameshiriki mchezo mchafu wa kujenga daraja na kutenganisha walionacho na wasionacho ndani ya miaka kumi ya umarehemu wa JK (original). Ameshiriki kuingiza mtandao wa wafanya biashara ndani ya serikali ya Tanzania, kitu ambacho JK(original) alikemea kwa kusema bila kutafuna maneno "Ikulu si mahali pa kufanyia ulanguzi".

Hesabu zake za kuwa raisi baada ya Kikwete ni sawa na kuchukua ziro ugawe kwa namba yoyote. Lazima ufulie. Huwezi pata jibu hata ufe!!

Acha wamasai wamuabudu kwani akili zao ni sawa na zake tu!!
EL anatumia fedha alizoiba kutafuta uongozi na wamasai kwa umasikini wao anawatumia anavyotaka.Watanzania wenye nia nje na nchi hii tuamke na kuilinda dhidi ya watu wenye tamaa ya madaraka kama akina RA, EL na mtandao wao, kila baya linalotokea nchi hii huo mtandao haukosi kushiriki.Ninashukuru kuwa watanzania wengi wamegundua hilo.Mungu ibariki tanzania.
 
F I S A D I !!!!!!
Nashangaa sana, watu bado wanamchekea, anaingia tena bungeni!! kweli kuna watanzania walio viziwi na vipofu licha ya kuwa wana masikio na macho.:confused2:

Utazidi kushangaa ikifika November 2015 ukimwona anazunguka kwenye kiti cha enzi pale magogoni.
 
Long after he is gone, tutaendelea kumjadili Lowassa. Thats a true measure of a great leader. Wengi wangeshakuwa wame-vanish baada ya vurugu kubwa ya powerful negative media iliyopigwa for three years starigh', lakini he is standing tall and proud today, wakati hiyo allegation imepukutika na kusambaratika na zinabakia great memories of what this great man has done to his beloved country, Tanzania, and that is unquestionable. I love the man, enough respect!

Kaka hapo umeingia choo cha kike for me and kwa watanzania wengine hana cha kukumbukwa bali ni mateso tu kwa wananchi wa kawaida na maskini walio mjini na vijijini
 
nadhani anapanga namna ya kuakikisha dr, ambaye ni mgombea wa arusha mjini anaenda mjengoni hata kwa kupora kura. Ila huyo mama atoboi mbele ya lema hata kwa hizo 90m

nasikia alishawahi kupa mimba huyu mama wakati wanaanza mapenzi yao mpaka ikawa issue media wakazuiwa wasiandike na mimba ikatolewa....,na shughuli zote za za nyumbani kwa lowassahuyu Dr hakosi eg,harusi ,vikao vya arusi ni mtu wa karibu sana na familia........duh
 
Back
Top Bottom