Yu hai huyu mtu?

bagwell

Senior Member
Sep 19, 2012
113
25
Yuhai huyu ama ameshavuta siku nyingi>?....mna kipindi sijamsikia
 
Attachments

  • A-life-size-replica-of-former-Israeli-Prime-Minister-Ariel-Sharon-in-a-hospital-bed-is-exhibited.jpg
    A-life-size-replica-of-former-Israeli-Prime-Minister-Ariel-Sharon-in-a-hospital-bed-is-exhibited.jpg
    21.2 KB · Views: 389
bado yupo hai,au unafikiri ni yule wa kwenu mliyeenda kumpiga sindano ya sumu st thomas.
 
living dead
mkuu waisrael watu wa ajabu sana unaweza kukuta pamoja ya huyo mzee kuwa hoi hospitali lakini kuna ma-advise kibao anatoa. Si unajua huyo nae ni mkongwe na amepitia mikasa mingi tangu enzi za akiaa Moshe Dayan..."ukiona nyani amezeeka ujue amekwepa mishale mingi."
 
nimeipenda hii mpwa
 
........maiti inatoa ushauri !? Wagala bana !
 
Hili Jembe linaitwa Ariel Shalon..ni jibaba la miraba 4, bonge la mtu kwelikweli yaani limeendesha mambo mengi sna kiubabe tangu enzi hizo za vita ya Israel na waarabu..
 
huyu mtu ni muhimu kwao hasa ukiangalia kuna uwezekano wa vita na iran inawezekana kapata unafuu ila wamenyamaza makusudi.Hawa jamaa ni kiboko wa interegensia kwani waliwahi kuiba mkojo wa aliyekuwa mfalme wa Moroco walipoupima wakatangaza ana kansa na atakufa baada ya muda fulani
 
Semeni musemayo, badoo napenda. Shalom, shalom

.....basi mbona roho ifikapo kooni, na nyinyi wakati ule mnatazama. Nasi Tunakaribiana nae zaidi (huyo anae karibia kukata roho) kuliko nyinyi, na wala nyinyi hamuoni. Nyinyi ham'mo katika Mamlaka yangu. Kwa nini hamuirudishi (hiyo roho) ikiwa mnasema kweli ! Qur'an: 56: 83-87.
Irudisheni hiyo roho kama nyinyi mna 'Mamlaka' ! Jamaa 'Bulldozer' duniani hatakiwi na akhera haendi, chamoto anakiona mbabe wenu kabla hajafa !
 
Mkuu vipi maendeleo ya mgomo? Nasikia tumegomea bidhaa zinazotengenezwa Marekani...

Kabla ya kauli hii tayari walisha fanya tathimini na kugundua kua bidhaa zote zinatoka CHINA...isipokua dawa za ARV....
kwa hili watafanikisha bila hata tatizo...thumb up musssy
 
Ariel Sharon, born on 26 February 1928 is an Israeli statesman and retired general, who served as Israel's 11th Prime Minister. He has been in a persistent vegetative state since suffering a stroke on 4 January 2006.His stroke occurred a few months before he had been expected to win a new election on what Matt Rees asserted to be "a promise of clearing Israel out of most of the West Bank. Doctors fought to keep him alive after severe hemorrhaging that caused significant brain damage, performing a number of desperate operations to stop the bleeding but leaving him in a vegetative state. Several months later, he was moved to a long-term care facility outside Tel Aviv.
 
Attachments

  • Ariel-Sharon-9480655-1-402.jpg
    Ariel-Sharon-9480655-1-402.jpg
    19.9 KB · Views: 81
Back
Top Bottom