majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 568
...........ati nanyie mkienda Bethlehemu mnasema hija ! ile ni IDOL WORSHIP TOUR, !!
Kile ni Kitendo alichofanya Nabii Ibrahim, wakati anataka kutekeleza maelekezo ya Mola wake SWT ya kumchinja mwanae Ismael, Shetani akamtokea akimshawishi aache kutekeleza hilo tendo. Kila mara Shetani alipokuwa akija, Nabii Ibrahim aliokota jiwe na kumrushia ili amfukuze. Nasi tunaige tendo hilo kama kumbukumbu !
Kitendo kama hichi kilimtokea Bwana Yesu pale alipopandishwa juu mlimani baada ya kutoka "kufunga"
Shetani alimuambia Bwana Yesu kuwa: ukijirusha katika Mlima huu, basi Mungu atakutumia malaika wakubebe juu kwa juu !
Kisha akamwambia ageuze jiwe kuwa mkate, Bwana Yesu alimwambia 'mtu hataishi kwa mkate tuu !
Baada ya majaribu yote, Bwana Yesu alimfukuza Shetani kwa kumwambia: Nenda zako Shetani na usimjaribu Bwana Mungu wako.
Punguza kuimba mapambio usome andiko !:wink::-*
..................kwi kwi kwi kwi!! eti mnamfukuza Shetani kwa mawe nyie watu kweli hamko sawa, shetani anaogopa mawe kumbe? subiri kesho nishushe lori zima la mawe hapa maskani ili akitaka kuja akiona mawe lazima atoke nduki. Kwahiyo kurusha mawe mnamuiga Ibrahim alivyofanya kumlaani shetani sasa nyie mtaiga vipi au mnamaanisha kule Makka napo kuna shetani?......kutokana na upeo wenu mdogo mnashindwa kujua kuwa huyo mnaesema mnampiga mawe kumbe ndo mnaemuabudu bila kujua. Hongereni sana watoto wa shet..i. Hiyo aya inayosema Ibrahim alimrushia mawe shetani umeipata kwenye Bible au daftari la waarabu? Kama shetani anaogopa mawe mnatakiwa mumpige na idadi gani ya mawe huko Makka ili afe kabisa au kila mwaka anarudi tena kuwasubiria waumini wake?
Halafu mnaponiacha hoi mnataka kwenda kumtoa nduki huyo shetani wa Makka wakati majini yale yaliyomoo katika nyumba zenuu za ibada mnatembea nayo na kuyafuga. Aha ha ha ha ha ha ha dini nyingine bhana!!