...........ati nanyie mkienda Bethlehemu mnasema hija ! ile ni IDOL WORSHIP TOUR, !!
Kile ni Kitendo alichofanya Nabii Ibrahim, wakati anataka kutekeleza maelekezo ya Mola wake SWT ya kumchinja mwanae Ismael, Shetani akamtokea akimshawishi aache kutekeleza hilo tendo. Kila mara Shetani alipokuwa akija, Nabii Ibrahim aliokota jiwe na kumrushia ili amfukuze. Nasi tunaige tendo hilo kama kumbukumbu !
Kitendo kama hichi kilimtokea Bwana Yesu pale alipopandishwa juu mlimani baada ya kutoka "kufunga"
Shetani alimuambia Bwana Yesu kuwa: ukijirusha katika Mlima huu, basi Mungu atakutumia malaika wakubebe juu kwa juu !
Kisha akamwambia ageuze jiwe kuwa mkate, Bwana Yesu alimwambia 'mtu hataishi kwa mkate tuu !
Baada ya majaribu yote, Bwana Yesu alimfukuza Shetani kwa kumwambia: Nenda zako Shetani na usimjaribu Bwana Mungu wako.
Punguza kuimba mapambio usome andiko !:wink::-*